Mwambieni huyu Mwanasiasa wenu aachane TZ yetu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Omar-Hassan.jpg

Huyo wa Mombasa wenu kwenye kwenye picha hapo juu, juzi nilimsikia akisema kwamba eti umefika wakati kwa Visiwa vyetu vya Unguja na Pemba viachiwe Maalim Seif wa CUF atawale akaenda mbali na kusema kwamba watu wa Zanzibar wamekuwa wakiishi kwa miaka yote na kukandamizwa na na Serikali yetu, sasa mumfikishie Ujumbe huyo Mwanasiasa wenu kwamba Mambo ya TanZania hayamuhusu na atatutue matatizo ya huko kwenu kwanza, mwambieni kwamba Muungano wetu ni wa kindugu na siyo wa Kisiasa zaidi ya asilimia 85 (85%) ya wakazi wa Visiwani wana asili ya kwetu Bara, hivyo afunge mdomo wake, shwaini!
 
Mambo mengine hatusemi,lakini kama kuna mwanasiasa anafikiri anaweza kuivunja nchi Kirahisi na AJARIBU.Kama kaichoka ZNZ Aende OMani
 
Watu tuko busy na kutumbua majipu,hakuna mwenye muda wa kutegua vitendawili vyako hapa.

Hata nakushangaa umefwata nini kwenye kitendawili changu kama kama hauna muda, hakuna aliyekuita hivyo unaweza pia kusepa vile vile!
 
If you are a kenyan, solve your country problems before jumping to issues that do not concern you. I believe Kenya has a lot more problems such as terrorism, corruption, tribalism etc that need your input. So, inakuwaje nyumba yako inaungua halafu unaiacha iendelee kuungua eti unaenda kuokoa ya jirani.Upuuzi.
 
Ukabila umewaharibu wakenya, wanabaguana wenyewe kwa wenyewe ndio maana wanataka na Tanzania tubaguane kama wao. Tena huyo mwanasiasa akae kimya tu.
 
Omar-Hassan.jpg

Huyo wa Mombasa wenu kwenye kwenye picha hapo juu, juzi nilimsikia akisema kwamba eti umefika wakati kwa Visiwa vyetu vya Unguja na Pemba viachiwe Maalim Seif wa CUF atawale akaenda mbali na kusema kwamba watu wa Zanzibar wamekuwa wakiishi kwa miaka yote na kukandamizwa na na Serikali yetu, sasa mumfikishie Ujumbe huyo Mwanasiasa wenu kwamba Mambo ya TanZania hayamuhusu na atatutue matatizo ya huko kwenu kwanza, mwambieni kwamba Muungano wetu ni wa kindugu na siyo wa Kisiasa zaidi ya asilimia 85 (85%) ya wakazi wa Visiwani wana asili ya kwetu Bara, hivyo afunge mdomo wake, shwaini!

Barbosa akili hizo ulizo nazo kama ndio na viongozi wako nao wako hivyo basi Tz yetu imevamiwa na watu wenye finyu ktk utatuzi wa jambo lililoikumba nchi kufuatia maamuzi mabaya ya Jecha.

Huyo bwana yuko vizuri ktk uchambuzi wa kisheria na Ile hali halisi ya Zanzibar nafikiri kiungwana pia ni vizuri kukubali kosa na maisha yakaendelea. Kwani hata mking"ang"ania sisi sote ni wa kupita , leo hii yule mama Asha wa bunge la katiba yuko wapi kaka??????????!!. Hata Nyerere na Karume Zanzibar wameiacha
 
Omar-Hassan.jpg

Huyo wa Mombasa wenu kwenye kwenye picha hapo juu, juzi nilimsikia akisema kwamba eti umefika wakati kwa Visiwa vyetu vya Unguja na Pemba viachiwe Maalim Seif wa CUF atawale akaenda mbali na kusema kwamba watu wa Zanzibar wamekuwa wakiishi kwa miaka yote na kukandamizwa na na Serikali yetu, sasa mumfikishie Ujumbe huyo Mwanasiasa wenu kwamba Mambo ya TanZania hayamuhusu na atatutue matatizo ya huko kwenu kwanza, mwambieni kwamba Muungano wetu ni wa kindugu na siyo wa Kisiasa zaidi ya asilimia 85 (85%) ya wakazi wa Visiwani wana asili ya kwetu Bara, hivyo afunge mdomo wake, shwaini!
Kwai Huyu bwana ni mkenya?
 
Mada yako ulikusudia ujumbe wako uwafikie wakenya cha ajabu sijaona comment ya mkenya hata mmoja.Hilo linakwambia kitu,alichosema mbunge huyo si hoja muhimu kwetu,labda huyo atakuwa ni mbunge wa county(M.C.A) tu.Usiwaingize wakenya wote kwenye upumbavu wake.Hawa MCA's ni viherehere tu,au itakuwa ni mambo ya watu wa pwani,siunajua Mombasa na zenj tabia zao ni zilezile,labda aliambiwa na wenzenu aseme hayo maneno.
 
Back
Top Bottom