UngaUnga
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,724
- 1,463
Leo asubuhi ndugu yangu alieko UAE, namba yake inaanza na +97155........ amenitumia kiasi kadhaa saa 2 asubuhi. haijafika hadi sasa! na ananitumia copy ya receipt ntaiattach soon, nikipiga c.care longo longo za hapa na pale! mbona wenzenu mpesa hawako hivyo?!. mwisho wa kutumia huduma yenu!.