"Mwambie mwenyewe......

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
[h=5]Jamaa flani kaingia salon,wakati ananyolewa akaingia mwanadada mmoja mrembo. Jamaa akaamua kujaribu bahati
yake.
Jamaa:"Mambo?"
Dem:"Poa"
Jamaa:"Mi na wewe tunaweza
ongea baadae?"
Dem:"Kwanini?"
Jamaa:"Nimekupenda nataka
nikupeleke date."
Dem:"Sawa,ila nitamwambia nini
mume wangu?"
Jamaa:"Aaah...hilo si tatizo
mdanganye tu! Mwambie
umeenda kutembelea rafiki yako
hospitalini."
Dem:"Mwambie mwenyewe...huyo
hapo ana kunyoa!!"

hebu tafakari nini kilitokea? au ungekuwa wewe ndio huyo jamaa ungefanyaje?[/h]
 
ilinitokea ila mimi ilikuwa ni famasi, na mteja aliyemtongoza mke wangu aliyeingia ghafla famasi akidhani ni mteja nilimhudumia dawa za gono ilikuwa kinondoni 2005
 
Kuna mijitu mingine mazungumzo yao na wanawake ni kutongoza tu na huwa haijali hata kama kuna watoto wadogo au wazee. Wengi wa hii mijitu ni isiyo na nguvu za kiume au shogaz
 
mi ningewambia mshkaji nazingua bwana nilijua fika km hiki ndo kifaa chako...ningemsifia umepata kifaa kina msimamo...halaf najichekesha chekesha.
 
[h=5]Jamaa flani kaingia salon,wakati ananyolewa akaingia mwanadada mmoja mrembo. Jamaa akaamua kujaribu bahati
yake.
Jamaa:"Mambo?"
Dem:"Poa"
Jamaa:"Mi na wewe tunaweza
ongea baadae?"
Dem:"Kwanini?"
Jamaa:"Nimekupenda nataka
nikupeleke date."
Dem:"Sawa,ila nitamwambia nini
mume wangu?"
Jamaa:"Aaah...hilo si tatizo
mdanganye tu! Mwambie
umeenda kutembelea rafiki yako
hospitalini."
Dem:"Mwambie mwenyewe...huyo
hapo ana kunyoa!!"

hebu tafakari nini kilitokea? au ungekuwa wewe ndio huyo jamaa ungefanyaje?[/h]

ha ha ha ningemwambia mbona huyu kinyoz ana demu mwngne kitaa then ndukii
 
"siku ya kufa ngedere miti yote huteleza"[/QUOTE]

Nakataa hapo utafiti unaonesha nyani siku ya kufa hana nguvu so km yupo mtini lazima ashike tu miti haiterezi kijana siku zote mbona alikuwa anakwea km hana akili nzuri!!
 
Ningemsifia jamaa kapata totoz mzur,maana hata hvyo huenda sio kweli kwamba ni mshkaji wake may b atakuwa anazuga tu,then nikimaliza kunyoa namuaga mchz na demu na kumwambia kwaher shemeji.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom