Mwambie Jirani Yako...

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
MWAMBIE JIRANI YAKO KUWA:

*Matajiri wanaishi kama mashetani na sisi wananchi tunaishi kama mazombi, tumepandishiwa bei. Akitaka kuwasaidia wananchi awajali kwanza watumishi wa umma na wafanyabiashara. Hao ndio wanaleta pesa na bidhaa mitaan.

1. Mwambie jirani yako kuwa siku alipokuja alitukuta tukinunua sukari kwa bei ya Tsh. 1700 lakini leo ametufikisha kwenye bei mpya ya Tsh. 2500 hadi 3000 kwa kila kilo.

2. Mwambie kuwa wakati anakuja, wakulima walinunua mbolea kwa bei kati ya Tsh. Elfu 35 hadi 45 ila leo wananunua kati ya elfu 55 hadi 70

3. Utakapokuwa ukimwambia, usisahau kumwambia kuwa wakati anaingia aliwakuta wakulima wa Mtwara wakiuza korosho zao na kulipwa kwa muda bila shida lakini yeye amefanya mkulima auze korosho zake mwezi Oktoba na kulipwa kwa masharti mengi mwezi Machi mwaka unaofuata na wengine kutolipwa kabisa.

4. Mwambie jirani yako kuwa wakati anaingia alivunja nyumba za watu kwa madai kuwa anataka kujenga barabara ya njia 8, lakini leo ameahirisha kwa muda usiojulikana.

5. Usisahau kumwambia kuwa wakati anaingia alikuta wafanyakazi walikuwa wakipata nyongeza za mishahara na upandishwaji wa madaraja kila mwaka lakini tangu aje yeye si mishahara wala madaraja, wafanyakazi wale hawajawahi kuongezwa.

6. Mwambie kuwa wakati ule alikuta wahitimu wote wa kada za afya na elimu wakiajiriwa wote bila masharti lakini tangu ameingia ameajiri wachache sana tena kwa kutoa sababu nyingi huku mahitaji yakiwa bado ni makubwa katika shule na vituo vya afya

7. Mwambie jirani yako kuwa wakati anaingia alitukuta tukiishi kwa amani huku demokrasia ikiwa imetamalaki kote nchini lakini tangu aingie demokrasia imekufa na vitendo kuwekana ndani, kufungana, kutekana na kuuana vikizidi kushika kasi, kutofanya siasa na maandamano ya amani.

8. Wakati anaingia alitukuta wengi tukiwa tumeajiriwa katika sekta mbalimbali lakini leo wengi tupo tu mtaani kwa kuachishwa kazi baada ya taasisi tulizokuwa tukifanyia kazo kufa.

9. Na umkumbushe kuwa uhamisho ulikuwepo ili kuokoa na kujenga familia za watumishi.

10. Mwambie siku hizi hakuna msanii anaethubutu kuimba siasa mpaka mjomba Mrisho Mpoto na ROMA Wametugeuka.

11. Mwambie kuwa alikuta hotuba za kila mwisho wa mwezi lakini siku hizi hazipo.

12. Mwambie kuwa alikuta miundombinu ikijengwa kwa pesa za kukopa na deni la taifa lilikuwa dogo lakini siku hizi tunajenga kwa pesa zetu wenyewe na deni la taifa limepaa mawinguni.

Mwisho usisahau kabisa kumwambia jirani yako kuwa wakati alipokuwa anaingia alitoa ahadi nyingi sana tamu ya kwamba angefanya lakini ajabu ni kwamba amesahau aliyoahidi na amekuwa akifanya mambo ambayo hakuahidi.

Hayo yote mwambie jirani yako... USISAHAU KUMKUMBUSHA KUWA KOSA SIYO KOSA ILA KOSA NI...
 
bonge ya fasihi,sanaa ya mtu wa vidato utaijua tu.sio wale wasanii wanauliza waliomshangilia walifikaje bondeni kwa madiba
 
Hayo yote mwambie jirani yako...

Tunawaambia pia mkandarasi wa stiglers anakaribia kumaliziwa pesa zake zoote hata kazi hajaanza lakini wastaafu/waliofutwa/kuachakazi NSSF zao hata Jiwe hataki kusikia wanalipwa wengine Ubungo wamelamba check fake wakafie mbele
 
Ndyo maana hapend wapinzani wafanye mikutano kuwaeleza watu mafyoko anayofanya.
 
Jirani yangu anaelewa yote hayo, ila anasema wanasiasa ni wasaliti. Eti kanitolea mfano wa majimbo ya dar, kilimanjaro.....kaenda mpaka arusha....hakusahau ukerewe.....kata kanitajia nyingi tu. Anasema afanye nini sasa!! Wale aliowaamini na kuwapigania kumbe walikuwa wanapigania matumbo yao. Wengine walimwambia jirani asiogope.....ila wao wametishwa kidogo tu wamesalimu amri.
Jirani yangu amekata tamaa....anasema yeye na majirani wengine wako tayari....ila si kwa wanasiasa wa kizazi hiki.
 
MWAMBIE JIRANI YAKO KUWA:

1. Mwambie jirani yako kuwa siku alipokuja alitukuta tukinunua sukari kwa bei ya Tsh. 1700 lakini leo ametufikisha kwenye bei mpya ya Tsh. 2500 hadi 3000 kwa kila kilo.

2. Mwambie kuwa wakati anakuja, wakulima walinunua mbolea kwa bei kati ya Tsh. Elfu 35 hadi 45 ila leo wananunua kati ya elfu 55 hadi 70

3. Utakapokuwa ukimwambia, usisahau kumwambia kuwa wakati anaingia aliwakuta wakulima wa Mtwara wakiuza korosho zao na kulipwa kwa muda bila shida lakini yeye amefanya mkulima auze korosho zake mwezi Oktoba na kulipwa kwa masharti mengi mwezi Machi mwaka unaofuata na wengine kutolipwa kabisa.

4. Mwambie jirani yako kuwa wakati anaingia alivunja nyumba za watu kwa madai kuwa anataka kujenga barabara ya njia 8, lakini leo ameahirisha kwa muda usiojulikana.

5. Usisahau kumwambia kuwa wakati anaingia alikuta wafanyakazi walikuwa wakipata nyongeza za mishahara na upandishwaji wa madaraja kila mwaka lakini tangu aje yeye si mishahara wala madaraja, wafanyakazi wale hawajawahi kuongezwa.

6. Mwambie kuwa wakati ule alikuta wahitimu wote wa kada za afya na elimu wakiajiriwa wote bila masharti lakini tangu ameingia ameajiri wachache sana tena kwa kutoa sababu nyingi huku mahitaji yakiwa bado ni makubwa katika shule na vituo vya afya

7. Mwambie jirani yako kuwa wakati anaingia alitukuta tukiishi kwa amani huku demokrasia ikiwa imetamalaki kote nchini lakini tangu aingie demokrasia imekufa na vitendo kuwekana ndani, kufungana, kutekana na kuuana vikizidi kushika kasi, kutofanya siasa na maandamano ya amani.

8. Wakati anaingia alitukuta wengi tukiwa tumeajiriwa katika sekta mbalimbali lakini leo wengi tupo tu mtaani kwa kuachishwa kazi baada ya taasisi tulizokuwa tukifanyia kazo kufa.

9. Na umkumbushe kuwa uhamisho ulikuwepo ili kuokoa na kujenga familia za watumishi.

10. Mwambie siku hizi hakuna msanii anaethubutu kuimba siasa mpaka mjomba Mrisho Mpoto na ROMA Wametugeuka.

11. Mwambie kuwa alikuta hotuba za kila mwisho wa mwezi lakini siku hizi hazipo.

12. Mwambie kuwa alikuta miundombinu ikijengwa kwa pesa za kukopa na deni la taifa lilikuwa dogo lakini siku hizi tunajenga kwa pesa zetu wenyewe na deni la taifa limepaa mawinguni.

Mwisho usisahau kabisa kumwambia jirani yako kuwa wakati alipokuwa anaingia alitoa ahadi nyingi sana tamu ya kwamba angefanya lakini ajabu ni kwamba amesahau aliyoahidi na amekuwa akifanya mambo ambayo hakuahidi.

Hayo yote mwambie jirani yako...
Ila utazame sura ya jirani yako kwanza kama hana "frastreshen au stress" maana unaweza kukuta wakati unamwambia akakujibu "KALIME" maana ndio kazi pekee isiyo na tija tunahimizwa kuifanya...
 
Jirani yangu anaelewa yote hayo, ila anasema wanasiasa ni wasaliti. Eti kanitolea mfano wa majimbo ya dar, kilimanjaro.....kaenda mpaka arusha....hakusahau ukerewe.....kata kanitajia nyingi tu. Anasema afanye nini sasa!! Wale aliowaamini na kuwapigania kumbe walikuwa wanapigania matumbo yao. Wengine walimwambia jirani asiogope.....ila wao wametishwa kidogo tu wamesalimu amri.
Jirani yangu amekata tamaa....anasema yeye na majirani wengine wako tayari....ila si kwa wanasiasa wa kizazi hiki.
Ungeni juhudi labda MTAKUMBUKWA NA WAKUBWA...
 
Jirani yangu ananiambia nae alishiriki kumchagua, yupo analia hapa
 
Back
Top Bottom