Shikamoo dada......samahani, eti huyu ni mume wako? Dada akajibu, Ndio kwani vipi.? huyu kaka ananisumbua sana ananitaka kimapenzi.....ananifataga mpaka hostel kunitongoza, nilishamkanya lakini hataki kunielewa, mimi ni mwanafunzi na yeye ni mtu mzima tena ameoa............ Ghafla jamaa anakua mbogo.....kasichana kanakomelea msumari kana mtajia mpaka aina ya gari......Wewe kaka unanifataga na Verossa nyeusi namba T.....CE.. ina tinted....na juzi ulinifata ukiwa umevaa t-shirt nyekundu..........kwa kweli sikutaka kujua zaidi ,nilijipigia simu nikasepa eneo la tukio.......Tukipata asilimia hata 30% ya vibint kama hivyi kwa kweli ingekua poa sana.