Mwambe: Tusisubiri CCM idhoofike ndio CHADEMA tuonekane imara, tujipange sasa kwa mabadiliko

Tar 10.12.2019 alisema angeongea na vyombo vya habari, kwani hakuongea?
Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa.

Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo makamanda wanapaswa kuwa na mipango enelevu na inayoshawishi wananchi kuanzia sasa.

Saa ya ukombozi ni sasa

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanafunzi anayesoma shule ili afaulu mtihani bila kuwa na malengo ya kuelewa na kutumia anachojifunza, huyu mwanafunzi hafai sasa na baadaye katika kuleta mafanikio yake mwenyewe na ya Taifa.
CHADEMA inataka kuchukua dola tu bila kuthibitisha kwa wanainchi kuwa wanauelewa na uwezo wa kuongoza Inchi.
Uelewa na uwezo wa kuongoza Inchi kwa CHADEMA ulianza kuoneka wakati wa akina Dr Slaa wakisaidiana na akina Tundu Lissu, Zito Kabwe na wengine.
Walikuwa na nguvu ya hoja katika kuikosoa Serikali na mara nyingi Serikali ilichukua hatua katika kujirekebisha.
CHADEMA ya sasa hivi inatumia hoja za nguvu ili kuleta mvuto kwa Wanainchi. Hii haikubaliki kwa wanainchi walio wengi na waelewa.
Kwa sababu CHADEMA ilikuwa na lengo moja tu kuchukua Dola, ndiyo maana walichukua hata watu waliokuwa wanawatuhumu kwa ufisadi na kuwapa nafasi ya kugombea Urais.
CHADEMA baada ya kuona kuwa watu hawa hawakuwasaidia kuwapeleka Ikulu hawawataki tena na ndiyo maana wengi wametamka kuwa wanarudi nyumbani CCM kwani walikuwa kama watoto wapotevu.
CHADEMA ya sasa ni dhaifu kuliko kipindi chochote cha uhai wake.
Naupenda sana upinzani kwa sababu ni uhai wa Demokrasia.
Naipenda sana CHADEMA iliyopita kwa sababu iliifanya CCM kuteua mgombea Urais anayefaa kuongoza INCHI katika uchaguzi wa mwaka 2015.
CHADEMA pamoja na udhaifu wenu wa sasa lakini mmeisaidia sana Inchi yetu katika kupata viongozi bora wa sasa na wa baadaye.
Jipangeni upya na mwombe kwa Mungu awajalie Hekima na Busara kama alivyoomba Mfalme Suleiman ili mwe na sifa ya kushika dola.
 
only muumini atashindwa kukubaliana nawewe...
Kwakuwa anatumia imani na sio kujia.
Kwa faida ya CCM ni bora ya DJ akaendelea kuiongoza Chadema kuliko aingie kiongozi Mpya ndani ya Chadema mwenye mitazamo na msimamo thabit. DJ anamapungufu mengi kiasikwamba CCM wanapata nafasi ya kuishinda Chadema kwa hoja kwakua Chadema haiendeshwi kama taasisi bali kikundi cha DJ na watuwake wa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa.

Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo makamanda wanapaswa kuwa na mipango enelevu na inayoshawishi wananchi kuanzia sasa.

Saa ya ukombozi ni sasa

Maendeleo hayana vyama!
Akishindwa atarudi tena CCM, hahahaaaa maccm.bwana maisha ya upinzani huku ni.magumu lazima ukomae kweli kweli, huku ni kutumikia na kutumika sio vyeo na posho.
 
Mwanafunzi anayesoma shule ili afaulu mtihani bila kuwa na malengo ya kuelewa na kutumia anachojifunza, huyu mwanafunzi hafai sasa na baadaye katika kuleta mafanikio yake mwenyewe na ya Taifa.
CHADEMA inataka kuchukua dola tu bila kuthibitisha kwa wanainchi kuwa wanauelewa na uwezo wa kuongoza Inchi.
Uelewa na uwezo wa kuongoza Inchi kwa CHADEMA ulianza kuoneka wakati wa akina Dr Slaa wakisaidiana na akina Tundu Lissu, Zito Kabwe na wengine.
Walikuwa na nguvu ya hoja katika kuikosoa Serikali na mara nyingi Serikali ilichukua hatua katika kujirekebisha.
CHADEMA ya sasa hivi inatumia hoja za nguvu ili kuleta mvuto kwa Wanainchi. Hii haikubaliki kwa wanainchi walio wengi na waelewa.
Kwa sababu CHADEMA ilikuwa na lengo moja tu kuchukua Dola, ndiyo maana walichukua hata watu waliokuwa wanawatuhumu kwa ufisadi na kuwapa nafasi ya kugombea Urais.
CHADEMA baada ya kuona kuwa watu hawa hawakuwasaidia kuwapeleka Ikulu hawawataki tena na ndiyo maana wengi wametamka kuwa wanarudi nyumbani CCM kwani walikuwa kama watoto wapotevu.
CHADEMA ya sasa ni dhaifu kuliko kipindi chochote cha uhai wake.
Naupenda sana upinzani kwa sababu ni uhai wa Demokrasia.
Naipenda sana CHADEMA iliyopita kwa sababu iliifanya CCM kuteua mgombea Urais anayefaa kuongoza INCHI katika uchaguzi wa mwaka 2015.
CHADEMA pamoja na udhaifu wenu wa sasa lakini mmeisaidia sana Inchi yetu katika kupata viongozi bora wa sasa na wa baadaye.
Jipangeni upya na mwombe kwa Mungu awajalie Hekima na Busara kama alivyoomba Mfalme Suleiman ili mwe na sifa ya kushika dola.
Maelezo mengi haya pointi.
 
Back
Top Bottom