'Mwalimu's Msasani House Was Built With a Bank Loan' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Mwalimu's Msasani House Was Built With a Bank Loan'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Nov 29, 2007.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2007
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tanzania: 'Mwalimu's Msasani House Was Built With a Bank Loan'


  The Citizen (Dar es Salaam)
   
 2. N

  Nshomile Member

  #2
  Nov 29, 2007
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa kalonga! hana mchezo. maneno ya kiutuuzima na yenye mantiki. Nimefurahi kuona anatumia sana uelevu katika kujibu masuali yake, na amaeonyesha kutokuwa na uchu wa madaraka. Lakini kubwa zaidi ni palae naye aliposisitiza mfumo wa serikali na bunge ulivyo. Mbunge kuwa waziri, ni suala ambalo hakulipenda, ambalo wengi wetu pia tunalipigia kelele liondelewe.
   
 3. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2007
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  I am also developing businesses left by my father John Rupia, and I am proud that my children Peter, Suzan, Pauline and Simon are all in the country doing business. This office belongs to my elder son Peter, who owns Rupia Investments.

  Very interesting indeed, yaani waandishi hawa nao hivi ni kwa nini hawakumuuliza kuhusu yule Mhindi aliyekuwa anatafutwa na serikali enzi zile za Mrema, baada ya kuidanganya World Bank na kuchukua mahela mengi kwa jina la nchi yetu, lakini akajificha nyumbani kwake huyu mkuuu na mpaka leo ile kesi haijulikani iliishia wapi?

  Kwa nini hawakumuuliza kuhusu rushwa alipokuwa Ikulu, chini ya Mwinyi? Yaaani sasa hata huyu mkuuu naye ana ubavu wa ku-make political news, vipi kuhsusu mtoto wake huyo anaye-own Rupia Investment alivyomuua mfanyakazi masikini mlalahoi kwa bastola kama Ditopile ilikuwaje yakaisha hivi hivi kinyemela? Kule rumande zile siku kama 7 alizokaa mbona hakukakaa wanakoishi watuhumiwa wote wa mauaji? Kesi yake mbona ilichukua wiki moja tu ikaisha na akaachiwa? Wengine huko Keko vipi wanaotuhumiwa na mauaji mbona kesi zao hudumu kwa zaidi ya ten years?

  Je akiombwa aorodheshe mali zake na uhalali wa kuzipata kwkae anaweza? Hivi hawa waandishi wa habari walisoma shule gani? Walichomuuliza hasa cha maana kwa taifa ni nini mpaka ku-make hiii big news splash for nothing?

  Only in Tanzania!
   
 4. r

  rpg JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2007
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  What about complaints that our president is traveling a lot?

  A president has to travel on particular missions outside the country for various reasons. In the case of President Kikwete, I think it was unavoidable for him to travel like that bearing in mind he was just new in the office and therefore he had to familiarize himself with the world. But I believe, with time he will settle and stretch out the trips.  With time he will settle and stretch out the trip??? FORGET ABOUT IT!!!
   
 5. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2007
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  sijui kwa nini viongozi wetu hawapendi kutumia busara za watu kama hawa
   
 6. r

  rpg JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2007
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  .......... think it was unavoidable for him to travel like that bearing in mind he was just new in the office and therefore he had to familiarize himself with the world..............


  I totally disagree with this point, He had already familiearized himself with the world when he was Minister for Foreigh Affair
   
 7. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2007
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  rUPIA NI MBWEMBWE TU. Ni sawa na usemi katika mazishi ' MAREHEMU ALIKUWA....... YOTE NI MISIFA TU hata kama alikuwa kibaka, muuaji, mbakaji, mkwapuaji. Enzi za Rupia akiwa ikulu Nchi ILIOZA!! NCHI ILIZAMA. NDIYO WALIONZISHA UTARATIBU WA IKULU KUWA GULIO LA WALA RUSHWA NA WAHARIBIFI CHINI YA KILEMABA CHA RUKHSA. NO NO NO NO. najua kama kiongozi he has some to offer lakini a a a sio rupia. walizamisha NCHI NA MWINYI WAKE. no no.whoever aliyearange interview naona aliandikiwa maswali na alim alert kabla ya kwenda kumuinterview. waandishi wa habari waliobobea hawatashindwa kubaini kuwa maswali yote yalilenga au leading positive responce. Vipi upande wa pili yaani rushwa na kuiharibu Tanzania. namshauri mwandishi huyo amrudie Rupia halafu anicontact nimwamndikie what to ask. you get what you ask.
   
 8. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Lete data wakuu.

  FMES, naona umemwaga cheche kweli hapo, ndicho tunachotaka ili sisi tusiojua tuelemike na kuaacha kuwashangilia hawa jamaa kumbe wanasema kwasababu tu sasa wako nje ya madaraka.
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Nov 29, 2007
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,733
  Likes Received: 4,950
  Trophy Points: 280
  Field Marshal ES,
  watanzania tuna memory fupi sana sana. nashukuru kwa jitihada zako kutukumbusha mambo kama haya. mimi nilikuwa napiga kelele kwamba Mwalimu ile nyumba alikopa nikawa naonekana mwongo. sasa Paul Rupia kani-vindicate.

  Mimi nadhani watanzania tukijitahidi kuwa na kumbukumbu angalau kidogo tutapiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Nov 29, 2007
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,853
  Likes Received: 2,426
  Trophy Points: 280
  ...NIMEPENDA RUPIA ALIVYOJIELEZA ..hajawa mnafiki juu ya kilichomuangusha mwalimu..pia hajajigonga kueleza kuwa wanzo mali..hasa zilizoachwa na baba yake..ukweli baba yake alikuwa mfadhili mkuu wa TANU na sio ajabu familia yao kuwa matajiri..

  na pia inafahamika kuwa babu yake mzee rupia hakukubaliana na mwalimu kuhusu UTAIFISHAJI ..mwaka 1967..ila mwalimu hakufikia kumuweka kizuizini tu kwa sababu ya heshima kwake....

  lile jengo kubwa la lumumba ambapo chuo kikuu ndimo walipoanzia na baadaye likamilikiwa na SUKITA..BABU YAKE ALILITOA ZAWADI KWA TANU....


  NAFIKIRI TUNAHITAJI THREAD KUHUSU UTAIFICHAJI WA 1967 NA NANI WALIPOTEZA NINI,NANI WMERUDISHIWA NA NANI BADO[KUNA WALIORUDISHIWA]

  KWA MFANO LILE JENGO LA TANCOT LILIKUWA MALI YA AMIR JAMAL..SIJUI KAMA KARUDISHIWA AU LA...[JE AMIR JAMAL ALIKUWA NDIO MSIRI WA NYERERE HATA KWENYE PESA ...KAMA ALIVYOWAHI KUZUSHIWA NA MTIKILA NA KAMBONA...JE WATOTO WA JAMAL WALIIZIMA FAMILIA YA MWALIMU PESSA WALIZOACHIWA WAWAPE??? KWA NINI WATOTO WAKE WANAKAA CANADA NA HATA BABA YAO WAMEMZIKA HUKO???....NINI KILIPELEKEA MWALIMU KUANDAA HAFLA YA KUMKUMBUKA JAMAL..TENA HADI AKALIA ..NADRA MWALIMU KULIA ZAIDI YA KUMLILIA JAMAL NA SOKOINE!!!}

  NAMPONGEZA MWANDISHI WA MWANANCHI KWA KUMUHOJI MZEE RUPIA ..NI MUHIMU KUWAULIZA HAWA WAZEE MUHIMU MAMBO TATA ..WAKIWA HAI NA AKILI TIMAMU KABLA HAWAJATUTOKA ..TUSIJE POTEZA HISTORIA!!!!!

  KAWAWA NA WENZAKE WAPO HAI ..HATA KAMA HAWATAKI KUANDIKA VITABU...WAHOJIWE KWA KINA ..TUWEKE KUMBUKUMBU....!!!!
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2007
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  NIMEPENDA RUPIA ALIVYOJIELEZA ..hajawa mnafiki juu ya kilichomuangusha mwalimu..pia hajajigonga kueleza kuwa wanzo mali..hasa zilizoachwa na baba yake..ukweli baba yake alikuwa mfadhili mkuu wa TANU na sio ajabu familia yao kuwa matajiri..

  Mkuu PM,

  Heshima mbele na nimekuvulia kofia, yaani wewe kiongozi akishakuwa na mke mchagga tu basi ni malaika? Mkapa na Rupia wana wake wachagaa, kwako ni malaika hawa?

  Huyu Rupia alichoongea hapo nini kama sio hewa tupu? Yeye alichofanya ni kuitumia fursa hiyo kujikosha kuwa utajiri wake ni wa baba yake,a pure NONESENSE, majengo yote ya baba yake yanasubiri kujiangukia anytime,

  Enzi za Mrema, alipokuwa ahojiwe kuhusu kujificha kwa mtuhumiwa Chavda, nyumbani kwake Rupia, akakataa kata kata kuwa hataki, leo kulikoni?

  Mwalimu alimuita na kumtukana sana akiwa katibu ikulu, kuwa yeye ndiye hasa chanzo cha uozo kule, mbona asiende kuongea na waandishi why sasa? Alichosema hasa ni nini kama sio usanii, hawa waandihdi wafikie mahali watuulize kwanza nini cha kuwauliza hawa, hana hata aibu kuwataja watoto wake eti Rupia Investment, kijana anyesema anamiliki alikuwa akisoma US, akashindwa shule na kuamua kurudi nyumbani the next thign kijana ana majumba ya kupangisha ya kisasa, ana magorofa, I mean mbona wabongo tunapenda kuchezeana, the next kampiga risasi na kumuua mfanyakazi wake, akakamatwa na kupelekwa Keko, the next thing tunasikia hayuko Keko ila Ukongwa kwenye maeneo ya wahaini ambako ambako hakufanani kabisa na jela wala Keko, the next thing serikali imefuta kesi yote haya within siku saba, sasa here is the man talking nonesense,

  Kwa kushinikizwa na Mwalimu, wakamuweka kitako chini aliposhindwa ubunge Ukonga, kwamba aamue betweeen uongozi au kumfuata mkewe kulimbikiza mali, at this point CCM walikuwa wanataka kumpa ubunge wa EAC, yeye akaamua kumfuata mkewe kwenye mali, sasa leo naye ana ubavu wa kukosoa au kushauri?


  Mara yake ya mwisho kuongea na waandishi, aliwahi kuulizwa kuhusu matumizi mabaya ya safari ya Mwinyi akiwa rais, kule Brazil ambako inasadikiwa srikali yetu ilitumia dola karibu millioni mbili under his watch, hakujibu na ikawa mwisho wa maongezi, leo ameibuka tena! Mali za baba yake tunazijua, ukweli ni kwamba sio zake tu ni za yeye na ndugu zake, nazo ni majengo tu kule Kariakoo ambayo yamejichokea yanasubiri kuanguka tu, angekuwa na huo utajiri wa ukoo wa kupindukia kama tunavyoambiwa basi watoto wa ndugu zake wasingekuwa wanasota kule US, ni kwamba hizo mali alizoacha baba yake ni majengo ambayo wala hayana mpangishaji,

  I mean, waliokwisha iba waende zao wasitudanganye hapa, lakini kuna siku mkono wa sheria utabadilika tu, then ndio wataelewa kuwa wabongo sio wajinga kama walivyokuwa wakifikiri, amuulize Mkapa lile "faili" jinsi lilivyokuwa limejaa uchafu wake ambaop hata hakutegemea kuwa kuna mtu anaujua!

  Mungu aibariki bongo yetu!
   
 12. N

  Nshomile Member

  #12
  Nov 30, 2007
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee kweli hapa mtandaoni si mchezo. Ninafurahi sana maana ninapapata kujua na kujifunza yale yanayosibu viongozi wetu. Tuendeleze ukweli huu ili uwafikie waheshimiwa. Kama Rupia alivyojitetea before mimi niliona alimwaga point, lakini vijana mlivyoziponda kwa evidences.....ndio hapo mnapoukuna moyo wangu na kunifanya niwe mchungu zaidi katika maslahi ya nchi yangu. Tuendelee kuwachimbua hawa jamaa!..Lakini labda kuwepo na ka-utaratibu wa kuwezesha hizi habari nyingine ziwafikie walengwa...ili tutoe fundisho through this opportunity..sio tu tuishie humu humu!
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Nov 30, 2007
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,853
  Likes Received: 2,426
  Trophy Points: 280
  ]

  Mkuu PM,

  Heshima mbele na nimekuvulia kofia, yaani wewe kiongozi akishakuwa na mke mchagga tu basi ni malaika? Mkapa na Rupia wana wake wachagaa, kwako ni malaika hawa?
  KAMANDA FM..

  heshima kwako mkuu..hivi kumbe mke wa rupia ni mchagga..nilifikiri ni warioba ,bomani mark..et al tu..anway nilivyokuwa naandika sikuwa influenced na hilo...na najua huyo rupia si msafi namna hiyo...
  ndugu zake kina laban ..kutwa wanashinda mission kota ilala na kina zungu wanakunywa ..na ..na kupiga soga..nafikiri kati ya watoto wa john rupia yeye ndio kidogo ana mwelekeo...
   
Loading...