Mwalimu wa 'Tuition' kwa wanafunzi wa sekondari au shule ya msingi, muda wa usiku (saa moja jioni mpaka saa nne usiku), ijumaa tatu mpaka ijumaa

Himidt Lengo

JF-Expert Member
Jan 4, 2018
244
250
Mimi ni mwalimu wa 'Physics' na 'Chemistry' (kwa sekondari), ninaweza pia kufundisha hisabati na sayansi kwa shule za msingi maana nimeshafundisha kwa miaka miwili), ninafanya kazi na kuishi Dar es salaam.

Ninatafuta shule ya sekondari, shule ya msingi au 'Tuition centre' ambayo ina 'program' ya kufundisha wanafunzi baada ya muda wa darasani kuanzia saa moja jioni mpaka saa nne usiku.

Kama kuna mtu ambaye anafahamu au ana shule, au 'tuition centre' ambayo ina hiyo program, na ana uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa, ninaomba tuwasiliane PM, email yangu ni julius.muema421@gmail.com.

Asante.
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,341
2,000
Mkuu huo muda uliotaja hapo una walakini. Sidhani kama wazazi watawaruhusu watoto wao kwenda tuition za kuanzia saa moja usiku mpaka saa nne usiku.

Jaribu kuangalia muda mzuri au ikishindikana fundisha siku za weekend kuanzia asubuhi mpaka jioni. Hiyo ya usiku itakuingiza matatani hata kwa bahati mbaya.
 
Himidt Lengo

JF-Expert Member
Jan 4, 2018
244
250
Saa nne usiku? Tuition na mabinti wa secondary?
Sihitaji kufanya nao ujinga, niko kwa ajiri ya kazi ndugu. Mimi hata kukesha nao ninaweza. Nna mke wangu mrembo sana nnamependa sana ananitosha. Nimeokoka hayo mambo ya ajabu sifanyi. Napenda kumtumikia Mungu. Kama wataona shida nafanya na wakiume tuu ni vyema pia.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896

Wewe sema labda unawafundishia kwao labda. Ila suala la kuokoka sio kuwa linatoa hisia ama emotions za sex.
Ni Kama useme kuwa umeokoka ukiona Simba hutokimbia ama hupati njaa so huwezi pingana na uumbaji.

Pia suala la mke wako kuwa mrembo sio kuwa wote wachepukao wake zao ni ugliest.

Kwani Kama una mshahara wa 10M ukipewa laki 5 Kama hongo huchukui.

So please be realistic and clearity.

Mana tumesoma viongozi wa dini Tena wenye makanisa wakiachanisha ndoa za watu
 
Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,230
2,000
clearity🤭
Wewe sema labda unawafundishia kwao labda. Ila suala la kuokoka sio kuwa linatoa hisia ama emotions za sex.
Ni Kama useme kuwa umeokoka ukiona Simba hutokimbia ama hupati njaa so huwezi pingana na uumbaji.

Pia suala la mke wako kuwa mrembo sio kuwa wote wachepukao wake zao ni ugliest.

Kwani Kama una mshahara wa 10M ukipewa laki 5 Kama hongo huchukui.

So please be realistic and clearity.

Mana tumesoma viongozi wa dini Tena wenye makanisa wakiachanisha ndoa za watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom