Mwalimu wa Sanaa

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
Kama mzazi, hebu mpe maksi huyu mwalimu wa sana, usisahau kuweka maoni pia

 
Ni sawa anafundisha watoto kujiamini. Watoto wa umri huo huna cha maana cha kuwafundisha zaidi ya kuwa na uthubutu , kujiamini na kujaribu bila kuangalia spectators wanasemaje ...Mimi ningekua na mtoto hapo nisingeona shida mana hakuna kibaya alichofanya
 
nimecheka hadi mbavu zinauma khaaaah, mwalimu wa sanaa akionesha vitendo zaidi.
 
Back
Top Bottom