Mwalimu wa physics na computer science

prince john john

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
2,080
3,106
Habari ndugu zangu
Mimi ni mhitimu wa elimu ya shahada(degree) ya uwalimu wa masomo ya physics na computer science
Kwa yeyote mwenye anayo nafasi au anajua nafasi ya kazi ya ualimu wa physics kwa olevel au Advance.

Pia kwa computer nafundisha microsoft office package yote indeep(excell,word,powerpoint,publishers ,access etc)

Pia nafundisha Programing language
Html5(indeep)
Php and mysql(indeep)
Javascripts(indeep)
CSS(indeep)

ata kwa mtu mmoja mmoja ambae yuko interested na computer naweza kuja kumfundishaa.

karibuni
 
Kwa yeyote mwenye anayo nafasi au anajua nafasi ya kazi ya ualimu wa physics kwa olevel au Advance.

Pia kwa computer nafundisha microsoft office package yote indeep(excell,word,powerpoint,publishers ,access etc)

Pia nafundisha Programing language
Html5(indeep)
Php and mysql(indeep)
Javascripts(indeep)
CSS(indeep)

ata kwa mtu mmoja mmoja ambae yuko interested na compture naweza kuja kumfundishaa.

karibuni

Kwasasa nipo dar es salaam na nipo tayari kufanya kazi popote hapa nchini. Hata kuanza kwa kujitolea Asanteni
contact
0679 166 788

Asanteni..
Hongera ila ungesema ni mwalimu wa physics and programming. Computer Science is a bit wide..
 
Ndiyo jina la kozi yangu inaitwa computer science..
Najua umemamaanisha ni kozi uliyosoma chuo. Lakini kwenye kuonyesha vitu unvyoweza kufundisha umeonyesha tu programming pekee. Ukisema Computer Science ina maana unaweza ukafundisha data structures and algorithms, operating systems, database systems, computer networks, formal methods, artificial intelligence, etc.
 
Kwa yeyote mwenye anayo nafasi au anajua nafasi ya kazi ya ualimu wa physics kwa olevel au Advance.

Pia kwa computer nafundisha microsoft office package yote indeep(excell,word,powerpoint,publishers ,access etc)

Pia nafundisha Programing language
Html5(indeep)
Php and mysql(indeep)
Javascripts(indeep)
CSS(indeep)

ata kwa mtu mmoja mmoja ambae yuko interested na compture naweza kuja kumfundishaa.

karibuni

Kwasasa nipo dar es salaam na nipo tayari kufanya kazi popote hapa nchini. Hata kuanza kwa kujitolea Asanteni
contact
0679 166 788

Asanteni..

Nichek pm ntakuunganisha na mtu anataka umfundishe javascript, mim tulishindanwa juu ya bei, lakini kwa kuwa wew waitafuta hiyo kazi ntakuunganisha naye kama yeye mwenyewe atakuwa ajakuchek mana ni member humu
 
unachaji kiasi gani kufundisha javascript? Nadhani inalipa watu wakiwa wengi halafu wakashare cost
 
Najua umemamaanisha ni kozi uliyosoma chuo. Lakini kwenye kuonyesha vitu unvyoweza kufundisha umeonyesha tu programming pekee. Ukisema Computer Science ina maana unaweza ukafundisha data structures and algorithms, operating systems, database systems, computer networks, formal methods, artificial intelligence, etc.
Nafundisha vyote hivyo ndugu.. ila nimeandika vile vitu maarufu tu machoni kwa wengi ndugu yangu
Asante
 
Nichek pm ntakuunganisha na mtu anataka umfundishe javascript, mim tulishindanwa juu ya bei, lakini kwa kuwa wew waitafuta hiyo kazi ntakuunganisha naye kama yeye mwenyewe atakuwa ajakuchek mana ni member humu
Nimekuchek ndugu yangu pm
 
Back
Top Bottom