Mwalimu wa part-time anahitajika

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
850
586
Mwalimu wa Part time anahitajika, malipo mazuri, kufundisha somo la GS kidato cha tano na sita.

SIFA: Awe mhitimu wa shahada ya ualimu na kuendelea.

Masomo ya kufundishia lazima iwe ni POLITICAL SCIENCE na jingine lolote

Awe mkazi wa Mwanza City na viunga vyake.

Awe mwadilifu mwenye kuishi katika haiba ya ualimu.

Ambaye yuko tayari njoo PM
 
Mbona sion PM
Hivi kuna chuo bongo kinatoa shahada ya Elimu katika sayansi ya siasa?

Maana nimesoma unahitaji mwalimu wa G.S hapo hapo masomo yake ya kufundishia yawe sayansi ya siasa na mengine.
 
Mkuu UDSM na matawi yake mfano DUCE NA MUCE..
 
Mwalimu wa Part time anahitajika, malipo mazuri, kufundisha somo la GS kidato cha tano na sita.

SIFA: Awe mhitimu wa shahada ya ualimu na kuendelea.

Masomo ya kufundishia lazima iwe ni POLITICAL SCIENCE na jingine lolote

Awe mkazi wa Mwanza City na viunga vyake.

Awe mwadilifu mwenye kuishi katika haiba ya ualimu.

Ambaye yuko tayari njoo PM
Duh,
Hii sasa kiboko, hadi GS mtu anatafuta twisheni!!!!????
 
Mwalimu wa Part time anahitajika, malipo mazuri, kufundisha somo la GS kidato cha tano na sita.

SIFA: Awe mhitimu wa shahada ya ualimu na kuendelea.

Masomo ya kufundishia lazima iwe ni POLITICAL SCIENCE na jingine lolote

Awe mkazi wa Mwanza City na viunga vyake.

Awe mwadilifu mwenye kuishi katika haiba ya ualimu.

Ambaye yuko tayari njoo PM
NimekuPM teyari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom