Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,908
Umeshapata au bado?Kwasasa nipo mwanza,ila napatikana muda wowote na popote
Umeshapata au bado?Kwasasa nipo mwanza,ila napatikana muda wowote na popote
Hahahah duhNina tamani sana kuanzisha shule ya nursary, tatizo walimu hamuaminiki kabisa, inabidi nisomee mwenyewe ili mkizingua naingia mwenyewe uwanjani.
Habari ya Mwanza mpiga kura wa JPM...Kwasasa nipo mwanza,ila napatikana muda wowote na popote
Kuna shule ipo dsm, sasa kama ungekuwepo huku ungepeleka mwenyewe documents zako wangekuchukua kama kweli upo competent kama ulivyo jinadi hapo, ina walimu lkn ni hawatoshi.Bado sijapata mkuu,mtu anakupigia simu anakwambia tunakuitaji,ukimwambia nipo free anakwambia subili kidogo ntakustua,anaenda mazima,
Mimi nipo dsm nakucheck PMKuna shule ipo dsm, sasa kama ungekuwepo huku ungepeleka mwenyewe documents zako wangekuchukua kama kweli upo competent kama ulivyo jinadi hapo, ina walimu lkn ni hawatoshi.
Nawe kindergarten au?Mimi nipo dsm nakucheck PM
HERRAKI NURSERY SCHOOL TANDIKAMimi ni mwalimu-mhitimu shahada ya elimu ya awali 2015-2018
Nilifanya field maeneo tofautitofauti,nipo hapa nikiwa serious kukuomba nafasi ya kazi katika idara ya elimu ya awali.Sibagui idara,naweza kufundisha watoto wa chekechea ama walimu wa nursery ngazi ya cheti.Salary expectation iwe kati ya laki 3 na kuendelea kutegemeana na ukubwa wa taasisi.
Kwa mawasiliano zaidi,tuongee kwa 0763269465
Hongera mkuu!!!Nisiwe mchoyo wa fadhira,jukwaa hili lilinisaidia kupata kazi,saivi napambana japo mshahara ndo shida 150 per month na NSSF juu