Mwalimu wa nursery natafuta kazi

Bado sijapata mkuu,mtu anakupigia simu anakwambia tunakuitaji,ukimwambia nipo free anakwambia subili kidogo ntakustua,anaenda mazima,
Kuna shule ipo dsm, sasa kama ungekuwepo huku ungepeleka mwenyewe documents zako wangekuchukua kama kweli upo competent kama ulivyo jinadi hapo, ina walimu lkn ni hawatoshi.
 
Kuna shule ipo dsm, sasa kama ungekuwepo huku ungepeleka mwenyewe documents zako wangekuchukua kama kweli upo competent kama ulivyo jinadi hapo, ina walimu lkn ni hawatoshi.
Nipe jina la shule PM
 
Mimi ni mwalimu-mhitimu shahada ya elimu ya awali 2015-2018
Nilifanya field maeneo tofautitofauti,nipo hapa nikiwa serious kukuomba nafasi ya kazi katika idara ya elimu ya awali.Sibagui idara,naweza kufundisha watoto wa chekechea ama walimu wa nursery ngazi ya cheti.Salary expectation iwe kati ya laki 3 na kuendelea kutegemeana na ukubwa wa taasisi.
Kwa mawasiliano zaidi,tuongee kwa 0763269465
HERRAKI NURSERY SCHOOL TANDIKA
 
Nisiwe mchoyo wa fadhira,jukwaa hili lilinisaidia kupata kazi,saivi napambana japo mshahara ndo shida 150 per month na NSSF juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom