Mwalimu wa nursery natafuta kazi

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,067
1,827
Mimi ni mwalimu-mhitimu shahada ya elimu ya awali 2015-2018
Nilifanya field maeneo tofautitofauti,nipo hapa nikiwa serious kukuomba nafasi ya kazi katika idara ya elimu ya awali.Sibagui idara,naweza kufundisha watoto wa chekechea ama walimu wa nursery ngazi ya cheti.Salary expectation iwe kati ya laki 3 na kuendelea kutegemeana na ukubwa wa taasisi.
Kwa mawasiliano zaidi,tuongee kwa 0763269465
 
wakuu,bado sijapata kituo,nisaidieni kuulizia ulizia huko,ntakushukuru sana ukiniwezesha kupata kazi na Mungu atakubariki
 
Funguka zaidi,elimu yako,jinsia yako na mengine ambayo ungependa mwajiri ajue.!
Umesema una elimu ya shahada ila hujasema una elimu ya kidato cha sita, form four au standard seven.
Kila la heri!
 
Ok,
Nina vyeti vyote,form IV&VI
Ni kijana 29 yrs old,jinsia ni ME
Naipenda taaluma yangu ya elimu ya awali,maeneo yote ambayo nimefanya field,ukifika wakati naondoka,watoto hunililia,hapa sijisifii,ila nijinsi ninavyowajali wanafunzi wangu,hutamani niendelee kuwa nao,trust me!!!
 
Nina tamani sana kuanzisha shule ya nursary, tatizo walimu hamuaminiki kabisa, inabidi nisomee mwenyewe ili mkizingua naingia mwenyewe uwanjani.
 
Tuwasiliane nikupe ABC za elimu ya awali,non-professional ndiyo wasumbufu,mwalimu professional ana maadili wala siyo msumbufu
 
Mimi ni mwalimu-mhitimu shahada ya elimu ya awali 2015-2018
Nilifanya field maeneo tofautitofauti,nipo hapa nikiwa serious kukuomba nafasi ya kazi katika idara ya elimu ya awali.Sibagui idara,naweza kufundisha watoto wa chekechea ama walimu wa nursery ngazi ya cheti.Salary expectation iwe kati ya laki 3 na kuendelea kutegemeana na ukubwa wa taasisi.
Kwa mawasiliano zaidi,tuongee kwa 0763269465
Mkuu vp ushapata kituo? Kama bado naomba tufanye mazungumzo,sisi tunahitaji kufanyakaz na ww
 
Ok,
Nina vyeti vyote,form IV&VI
Ni kijana 29 yrs old,jinsia ni ME
Naipenda taaluma yangu ya elimu ya awali,maeneo yote ambayo nimefanya field,ukifika wakati naondoka,watoto hunililia,hapa sijisifii,ila nijinsi ninavyowajali wanafunzi wangu,hutamani niendelee kuwa nao,trust me!!!
Una bahat ya kupendwa,mi kila shule ninayoondoka wanafunz wanafurahia mana viboko wanavyokula sio vya nchi hii (jokes)
 
Kinachotakiwa edit hapo juu toa hiyo salary expectation maslahi ni muhimu ila hutakiwi kuonyesha tention ya kuonekana ni mpenda tumbo lako mapema mno.Kila la kheri riziki yako ipo tu Inshaallah.
 
Mimi ni mwalimu-mhitimu shahada ya elimu ya awali 2015-2018
Nilifanya field maeneo tofautitofauti,nipo hapa nikiwa serious kukuomba nafasi ya kazi katika idara ya elimu ya awali.Sibagui idara,naweza kufundisha watoto wa chekechea ama walimu wa nursery ngazi ya cheti.Salary expectation iwe kati ya laki 3 na kuendelea kutegemeana na ukubwa wa taasisi.
Kwa mawasiliano zaidi,tuongee kwa 0763269465
Upo wapi?
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom