Mwalimu wa Mathematics natafuta kazi, 0738 853 634

Huu usomi wa siku hizi kiboko.

Hivi unashindwa kujibrand kwenye Tangazo lako?

Barua ndio unaandikaga hivyo?

Hakuna mtu timamu akubali umfundishe mwanaye ikiwa hujui hata kujibrand
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom