RJ45
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 337
- 113
mimi ni mwalimu wa masomo tajwa hapo juu. nimesoma bachelor degree of education with mathematics and information technology. pia ninaweza kufundisha physics kama kuna uhitaji. kwa shule, taasisi, tuition center, mtu binafsi (home tuition), au kituo chochote chenye uhitaji wa masomo hayo tuwasiliane. napatikana dar es salaam lakini mkoani naweza kufika tukikubaliana.
mawasiliano PM
mawasiliano PM