Mwalimu wa MATHEMATICS GRADUATE.[Professional] ANATAFUTA KAZI. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa MATHEMATICS GRADUATE.[Professional] ANATAFUTA KAZI.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Young Philosopher, May 1, 2012.

 1. Y

  Young Philosopher Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nina rafiki Mwl wa CHEMISTRY/MATHEMATICS. anatafuta kazi sehemu yoyote nchini. ni mzoefu wa siku nyingi. tafadhari tuwasiliane. 0715770465.
   
 2. JAPUONY

  JAPUONY JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwalimu kwanza nikupe pole. Lakini pia naomba uniruhusu kukuchallenge kwa namna ambavyo huwezi kujiongeza kupata kazi kwa kutumia elimu yako ambayo ni adimu ya mathemetics/chemistry labda kama wewe ni muongo. Nijuavyo mie hizo fani ndo watu wanaotafutwa Tanzania, kama wewe ni mwl. mzuri kwa nini usifungue kituo chako ukawa unafundisha watoto katika kituo chako?hivi kweli hata kama ni mtaji, unashindwa kutafuta hata kachumba tu ka kuweka makuti alimradi kuna kivuli ukatoa elimu?Kama kweli wewe ni mzuri wa Mathematics naamini wanafunzi utawapata labda kama wewe haujiamini sana katika mathemetics.

  Mwal. utanisamehe, watanzania wengi tumekuwa wazembe wa kufikiri namna ya kuanza maisha ya kujitegemea bila kuajiriwa na mtu fulani, tumejawa uoga na hatuna ujasiri, tumebaki kulalamika kilasiku katika mtandao.Jaribu sasa, utaona mafanikio badala ya kuajiriwa na serikali. Wenzio wengi WAMETOKA kwa mfumo huo.

  Thanks and wish you all the best!
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Msema kweli mpenzi wa mungu!! Kama mwalimu kafikia hatua ya kuingia kwenye mtandao kutafuta kazi tena mwalimu wa Chemistry/Maths basi mwalimu atakuwa anatatizo, msaada anauhitaji kama huu ulioundika.
   
 4. e

  elia mgina Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Keep working hard Sir ur time will come, people do talk alot.... but you forget smtms things as simple as to you!!!
   
Loading...