Mwalimu wa Mathematics anatafuta kazi

Mkuu siku hizi kazi za ualimu hazitangazwi inapotokea gap waliopo kituoni wanaita jamaa zao. Nikushauri nenda kwa mkuu wa shule unayemfahamu mueleze uhitaji wako wa kazi akiposti kwenye groups za whatsapp za wakuu wa shule dakika 5 umepata kazi. Mungu akusaidie upate kazi mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom