Mwalimu wa Mathematics anatafuta kazi

Therapist 2015

JF-Expert Member
Aug 4, 2018
707
1,000
Habari ya jioni ndugu wana JF, napenda kutanguliza shukhurani kwa wanajumbe wote wa jukwaa hili.

Kuna mwalimu wa Mathematics anatafuta kazi ya kufundisha, ana uwezo wa kufundisha na Physics pia kwa O level, ila mathematics anaweza fundisha level zote.

Najua humu ndani yawezekana Kuna wamiliki au watu wakaribu na shule binafsi zenye uhitaji, naomba awasiliane na namba hii +255622967619
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom