wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,048
- 2,442
Kwa sharia kwa hukumu ingekuwa kupigwa mawe hadhari mpaka afeKaonewa sababu ya tamaduni za kuletewa na wazungu, miaka 15 kiafrika ni msichana aliefikia umri wa kupatiwa mume amuhifadhi, pia miaka 80 ni mingi sana tunataka kujua sharia law inasemaje kuhusu scenario kama hiyo? sharia law tunaitumia kwenye mirathi sasa kwa nn isitumike pia kwenye kesi kama hii?