Mwalimu wa kufundisha usa na uk english.pia tunafanya english swahili translation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa kufundisha usa na uk english.pia tunafanya english swahili translation

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by lonesome, Oct 28, 2012.

 1. l

  lonesome Senior Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Je unataka kufahamu au kuboresha lugha ya kiingereza? tunafundisha lugha ya kiingereza kwa matamshi ya kiingereza au kwa matamshi ya kimarekani. karibu kwa ajili ya huduma hii bei yetu ni nzuri na tunakupatia mafunzo kwa muda utakao na sehemu rahisi kwa ajili ya nafasi yako. hii ni kwa wafanyakazi,wanaotaka kujifunza zaidi na watoto wanaosoma au wanaotaka kusoma english medium school. tunaandika speeches,articles,kutafsiri kiswahili kwenda kiingereza na kiingereza kwenda kiswahili.bei ni maelewano na tunakupa uhakika wa kazi zetu.mwalimu ni mjuzi wa lugha ya kiiengereza na kiswahili kwa mawasiliano piga simu na 0682723880
   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  DUUH,mnafundisha lugha ya kiingereza kwa matamshi ya kiingereza au kimarekani??? hivyo hii inawezekana???maana hata waingereza lafid yake inategemea na eneo analotoka-au mtafundisha cockney ya london???
   
Loading...