Mwalimu wa KISWAHILI na HISTORY anahitajika!

kajiti

Member
Oct 19, 2011
59
7
wadau kuna nafasi ya mwalimu wa kiswahili na history katika shule ya sekondari SHIGHATINI iliyopo maeneo ya MWANGA-KILIMANJARO.
sifa za mwombaji
  • stashahada au shahada ya elimu
kwa maelezo zaidi wasiliana na mkuu wa shule kwa namba 0689854660.
Asubuhi njema wadau!
 
Usiendeleee kuumiza kichwa kuhusu kuwapata walimu bora waliokuwa tayari kufanay kazi nje na ndani ya Tanzania kwa makubaliano ya viwango vya msharaha ambao pia hawata kusumbua.
Sasa mkomozi wako ni Teachers' Junction.
Hawa ni mawakala wa ajira za walimu Tanzania usiogop kudeal na agncy kwani hukuwekea biashara yako kwenye soko la ushindani bila gharama.
Wasiliana nasi.
0753810857
email
teachersjunction@yahoo.com
Dar s salaam Tanzania
 
usiendeleee kuumiza kichwa kuhusu kuwapata walimu bora waliokuwa tayari kufanay kazi nje na ndani ya tanzania kwa makubaliano ya viwango vya msharaha ambao pia hawata kusumbua.
Sasa mkomozi wako ni teachers' junction.
Hawa ni mawakala wa ajira za walimu tanzania usiogop kudeal na agncy kwani hukuwekea biashara yako kwenye soko la ushindani bila gharama.
Wasiliana nasi.
0753810857
email
teachersjunction@yahoo.com
dar s salaam tanzania
ninyi ni wezi wakubwa mnataka kuneemeka kupitia watu wengine acheni kudanganya watu eti mnafanya bure me nawajua vizur na sishauri mwalimu yeyote awatumie ninyi
 
Shiggatin naijua sana shule ya masela sana ile labda nikafundishe kishumundu au uru sec
 
wadau kuna nafasi ya mwalimu wa kiswahili na history katika shule ya sekondari SHIGHATINI iliyopo maeneo ya MWANGA-KILIMANJARO.
sifa za mwombaji
  • stashahada au shahada ya elimu
kwa maelezo zaidi wasiliana na mkuu wa shule kwa namba 0689854660.
Asubuhi njema wadau!

vp mimi nimemaliza form 6 na nina uwezo mkubwa wa kufundisha masomo hayo. Ntafute kupitia 0755468951
 
Nina bachelor ya arts wth Education,Majoring in History and English lakini naweza kufundisha vizuri tu Kiswahili 0762434226
 
jamani mmepewa namba ya mkuu wa shule fanyeni mawasiliano naye,sasa nashangaa baadhi ya watu mnaanza kutoa namba zenu mpigiwe.
 
Walimu walokwenda kufanya interview leo 08,04,2014.
Reminant tabata,Zabikha Islamic Kinyerezi na Centennial Seminary.
Mungu awaongoze.

Kwa wale wa kesho interview ya Agape High School iko pale pale pamoja na ya Reminant.
Jitahdi kufika kabla ya saa tatu.
Mungu atuongoze kwa kila jambo
0753-810857
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom