Mwalimu wa kike wa hisabati na english shule za msingi anahitajika

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
13,962
22,333
Wadau,

Ofisin kwetu tunahitaji mwalimu wa kike wa shule za msingi au hata sekondari lakini alie tayar kufundisha darasa la tatu na la nne anahitajika. Asizidi miaka 25
Awe na uwezo mzuri wa kufundisha somo la hesabati madarasa hayo na pia awe na uwezo mzuri wa lugha ya kingereza (kuongea na kuandika). Shule ipo Zanzibar karibu na beach, tutampatia makazi kwa kipindi chote cha probation, mazingira ya kazi ni mazuri mno. Shule ina WiFi connection maeneo yote, mpaka kwenye makazi yake, darasa la nne lina watoto 14 tu na darasa la tatu lina watoto 20 tu.

Salary ni competitive. Aliye tayari ani PM haraka sana au kama unamjua ndugu na jamaa ambae hayupo JF mwambie atume CV na application yake kupitia supermoh8880@gmail.com
 
Afu asizidi miaka 25 top on that wa kikee
Vile mnavyokaa mkaanza kupiga kelele kuhusu uwekezaji kwa vijana? s.t.u.p.i.d
Let me be clear, tunatarajia vijana wa umri huo ndio waametoka vyuoni, tunawachukua wao ili tuwatrain waendane na miiko ya taasis yetu namna tunavyotaka sisi. Na kuhusu hlo la kwa nini wa kike tu, jibu lako utalipata ukisoma kitabu kinaitwa "Banker to the poor"
 
Mimi nafundisha hisabati mpaka la 7 ..
ila sijasomea sema tu nilikuaga mbaya kwenye hisabati kipindi hicho ,kupata 50/50 haikuaga hoja kabisa..
Mungu anisaidie
 
Mimi nafundisha hisabati mpaka la 7 ..
ila sijasomea sema tu nilikuaga mbaya kwenye hisabati kipindi hicho ,kupata 50/50 haikuaga hoja kabisa..
Mungu anisaidie
We need a someone qualified. With the qualifications that will help him/her to get the LTT licence from the government (Ministry of education)
 
Back
Top Bottom