Mwalimu wa Kichina anahitajika Dar.

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
988
Habari,

Mwalimu wa lugha ya kichina anahitajika haraka kufundisha chuo ngazi ya cheti kwa part time. Anayeweza ani PM tu na usitume CV wala barua, niambie tu kama upo interested na nitakupa direction.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom