Mwalimu wa History, Geography fresh from UDOM anapatikana

ibra2013

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
534
250
Habari wakuu.
Mimi ni Mhitimu wa shahada ya ualimu kutokea UDOM
Masomo ya history na geography
Call 0769925004
0657444196
Msaada wenu nahitaji kazi
 

Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
673
1,000
Habari wakuu.
Mimi ni Mhitimu wa shahada ya ualimu kutokea UDOM
Masomo ya history na geography
Call 0769925004
0657444196
Msaada wenu nahitaji kazi
Kuna masomo ambayo hayana umuhimu katika katika maisha Ni pamoja na history na Geography ,,mkuu ungekuwa unafundisha Mathematics ingekuwa poawa ila hayo bora urudi kijijini kwenu ukafufuwe mashamba uanze kulima kwa nguvu Sana ili baada ya miaka 3 uwe umetoka
 

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,219
2,000
Ji

Jiajiri mkuu kazi zipo nyingi Sana kitaaa ila ajira ndiyo hamna
Hii sentensi huwa inanipa ukakasi sana,
Kwa mujibu wa fizikia,kazi ni zao la kani(force)na umbali(distance),yaani ukitembea tu,umefanya kazi,

Lakini hapa kinachohitajika ni kazi inayoleta ujira,chapaa,ugari mezani.
Maana kazi Kama kuuza karanga,kupiga debe,kuchoma mahindi,kukaanga mihogo na vitumbua.hizi ni za kubangaiza tu.ili mradi mkono uende kinywani.Mdada alinisimulia hapo kwenye ofc yao ka mgahawa,akiingia kazini,analipwa 7000kwa kutwa,yeye kazi yake ni kuhudumia wateja wanaotaka chakula,na kuwaperekea wengine walipo,na kufata vyombo baaadae,wakati wa kurudi nyumbani,na hizi foleni za Dar,ili afike hm mapema apumzike,atatumia 4000,anabaki na buku 3 tu.alinisimulia huku anasikitika jinsi maisha yalivyo magumu.
 

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,219
2,000
Habari wakuu.
Mimi ni Mhitimu wa shahada ya ualimu kutokea UDOM
Masomo ya history na geography
Call 0769925004
0657444196
Msaada wenu nahitaji kazi
Kama unajua computer,una driving licence,anza na huo ujuzi kutafuta maisha.
Nina ndugu yangu alimaliza kidato Cha nne,akaenda chuo Cha ualimu,akakaa mwaka hm bila kazi,akaamua akusanye samaki waliokaushwa akafunga kwenye maboksi akasafiri nao kutoka Katavi,akafika morogoro.

Akauza samaki,akapanga chumba,akakodisha shamba akalima mahindi,akanunua boda boda,

Baada ya mwaka akaoa,zilipotoka nafasi za ualimu,akaomba akaperekwa Kigoma,maisha ya ajira akaona hayana maslahi kulinganisha na shughuri alizokuwa anafanya,anatamani arudi zake Moro aendelee na kujiajiri.

Utafanikiwa tu mdogo wangu,usiache kumuomba Mungu na kumshirikisha kwenye mipango yako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom