Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,246
- 1,727
- Thread starter
- #41
Bado natafuta
Mkuu namimi niko vizuri Biology and GeographyKama una uhakika upo vizuri nicheki pm
Bac organize na mshikaji hapo mufungue tuition mtapata pesa nzuri tu.. Bora uwe teacher mzuri na uwezo na convincing power yani uchekeshe kidogo kwenye pindi.. Ingia mashuleni kapige pindi mwezi mmoja tu kila school kuwavuta wanafunzi ikiwa ni njia ya kutangaza tution yako mana matangazo hawataki ko tumia ujanja huo.. Tution ikikaa vizuri hautotakaa ajira itakuwa hata mashuleni hasa ya private yanakuomba siku moja moja... Do this way don't try this way.. Do or don't..Mkuu namimi niko vizuri Biology and Geography
Level yangu ya Elimu Degree
Mwalimu wa Mathematics njooBac organize na mshikaji hapo mufungue tuition mtapata pesa nzuri tu.. Bora uwe teacher mzuri na uwezo na convincing power yani uchekeshe kidogo kwenye pindi.. Ingia mashuleni kapige pindi mwezi mmoja tu kila school kuwavuta wanafunzi ikiwa ni njia ya kutangaza tution yako mana matangazo hawataki ko tumia ujanja huo.. Tution ikikaa vizuri hautotakaa ajira itakuwa hata mashuleni hasa ya private yanakuomba siku moja moja... Do this way don't try this way.. Do or don't..
Uko wap mkuuWakuu habari zenu...Mimi ni mwalimu katika somo la hesabu na kiwango changu cha elimu ni level ya degree..ninatafuta kazi ya kufundisha somo la hesabu katika shule yoyote private ya primary, o-level,a-level or chuo chochote cha diploma...mnakaribishwa zaidi kwa maswali...ahsanteni
Nime ku pm mkuuUko wap mkuu
Upo wapNime ku pm mkuu
Upo wap
Please, yaani chukulia ushauri wake positively. You will be suprised.Ahsante kwa ushauri...but sishangai kuna watu kama wewe huwa wamekaa maofisini miaka nenda rudi na ni mabingwa haswa wa kuwaambia wenzao wajiajiri huku wao wakiwa wameajiriwa
Mkuu idea za kujiajiri tunazo but tatizo ni mitaji....so hivi tunatafuta angalau hata sehemu za kujishikiza siku mbili tatu tupate mtaji wa kujiajiriPlease, yaani chukulia ushauri wake positively. You will be suprised.
umeongea ukweli mtupu ambao watanzania wengi hawaujui wala kuufahamu.Umeelewa nilichoandika lakini!?? Hebu onyesha sehemu ya kukatisha tamaa!??? Nimemtumia yeye km kielelezo tu lkn nimelenga kukosoa mfumo mzima wa elimu yetu tuliyorithi kutoka kwa mwingereza. Unajua kijana km huyu ambaye amechukua mifugo ya wazazi akalipiwa ada,sasa hivi hana msaada wowote,maana hawa wenye karatasi zinazoonyesha degree hawawezi kufanya kazi yoyote. Huyu huwezi kumwambia akauze miwa akakubali hata km hiyo miwa imelimwa na Baba yake. Yaani umwambie aende tu shambani akakate ajaze mkokoteni akauze rejereja apate mtaji hatakubali. Huyu akili yake yote ipo kwenye kuajiriwa. Na si kosa lake ni kosa la mfumo....ni hadi siku watunga Sera watakapoamka!
Tatizo nipo mbali na huo mkoa mkuu...any way ahsante sana kwa mchango wakoMkuu jaribu kutembelea mkoa wenye shule nyingi,unaweza kufanikisha mfano kilimanjaro n.k
Mkuu hawa watu si wakuwasikiliza na kuwaamini 😂 😂 😂Walihaidi watatoa mwez wa 7 zile 13K...utapata tu
Vp mkuu kuna majina mengine kama 100+ yametoka, bado haupo?Mkuu hawa watu si wakuwasikiliza na kuwaamini 😂 😂 😂