Mwalimu wa hesabu natafuta kazi

Mkuu namimi niko vizuri Biology and Geography
Level yangu ya Elimu Degree
Bac organize na mshikaji hapo mufungue tuition mtapata pesa nzuri tu.. Bora uwe teacher mzuri na uwezo na convincing power yani uchekeshe kidogo kwenye pindi.. Ingia mashuleni kapige pindi mwezi mmoja tu kila school kuwavuta wanafunzi ikiwa ni njia ya kutangaza tution yako mana matangazo hawataki ko tumia ujanja huo.. Tution ikikaa vizuri hautotakaa ajira itakuwa hata mashuleni hasa ya private yanakuomba siku moja moja... Do this way don't try this way.. Do or don't..
 
Mwalimu wa Mathematics njoo
 
Wakuu habari zenu...Mimi ni mwalimu katika somo la hesabu na kiwango changu cha elimu ni level ya degree..ninatafuta kazi ya kufundisha somo la hesabu katika shule yoyote private ya primary, o-level,a-level or chuo chochote cha diploma...mnakaribishwa zaidi kwa maswali...ahsanteni
Uko wap mkuu
 
Umeelewa nilichoandika lakini!?? Hebu onyesha sehemu ya kukatisha tamaa!??? Nimemtumia yeye km kielelezo tu lkn nimelenga kukosoa mfumo mzima wa elimu yetu tuliyorithi kutoka kwa mwingereza. Unajua kijana km huyu ambaye amechukua mifugo ya wazazi akalipiwa ada,sasa hivi hana msaada wowote,maana hawa wenye karatasi zinazoonyesha degree hawawezi kufanya kazi yoyote. Huyu huwezi kumwambia akauze miwa akakubali hata km hiyo miwa imelimwa na Baba yake. Yaani umwambie aende tu shambani akakate ajaze mkokoteni akauze rejereja apate mtaji hatakubali. Huyu akili yake yote ipo kwenye kuajiriwa. Na si kosa lake ni kosa la mfumo....ni hadi siku watunga Sera watakapoamka!
umeongea ukweli mtupu ambao watanzania wengi hawaujui wala kuufahamu.
 
mfano mimi ninajua masomo karibu yote ya sayansi chemistry, biology, hesabu pia
 
Back
Top Bottom