Mwalimu wa hesabu natafuta kazi

Mara kadhaa nimeweka mabandiko humu au kupost kwenye nyuzi mbali mbali nahitaji mwalim wa Mathematics. Anyway, walimu wa Mathematics njooni PM niwape email mtume vyetu vyenu na cv
 
Ila usiwe miongoni mwa watu nliowahi kuwa-interview wakafail. Maana pengine umebadili ID tu
 
Jiajiri bhana utatafuta mpaka lini mshahara wenyewe magumashi #anzisha biashara yako #unapoteza Muda #kusaka ajira
Ahsante kwa ushauri...but sishangai kuna watu kama wewe huwa wamekaa maofisini miaka nenda rudi na ni mabingwa haswa wa kuwaambia wenzao wajiajiri huku wao wakiwa wameajiriwa
 
Hii nchi bado ina matatizo makubwa sana...!! Yaani hapo mzazi hela za Ada zimechukuliwa na hapo tangu A-level si chini ya milioni 10. Halafu milioni 10 umepewa karatasi ambayo wewe na waliokupa wanaiita degree,hiyo degree ambayo umetumia miaka lukuki kuipata na hela zimechukuliwa,leo unahangaika nayo kutafuta kazi. Huenda watakaokuajiri ni wale wa darasa la 7 ambao wewe wakati unahangaika kuitafuta hiyo karatasi,wao walikuwa wanakusanya pesa.

Hiyo unayoiita degree,huwezi kwenda kuiweka dhamana bank wala pharmacy wakakupa dawa km unaumwa. Pole sana mkuu,me sina shule ningekupa kazi.
 
Daah kweli mkuu ngoja tuendelee kukomaa
 
This is not good at all, unamkatisha mwenzako tamaa

Sio wote tunaweza kupita njia moja, kumbuka hili
 
Umeelewa nilichoandika lakini!?? Hebu onyesha sehemu ya kukatisha tamaa!??? Nimemtumia yeye km kielelezo tu lkn nimelenga kukosoa mfumo mzima wa elimu yetu tuliyorithi kutoka kwa mwingereza. Unajua kijana km huyu ambaye amechukua mifugo ya wazazi akalipiwa ada,sasa hivi hana msaada wowote,maana hawa wenye karatasi zinazoonyesha degree hawawezi kufanya kazi yoyote. Huyu huwezi kumwambia akauze miwa akakubali hata km hiyo miwa imelimwa na Baba yake. Yaani umwambie aende tu shambani akakate ajaze mkokoteni akauze rejereja apate mtaji hatakubali. Huyu akili yake yote ipo kwenye kuajiriwa. Na si kosa lake ni kosa la mfumo....ni hadi siku watunga Sera watakapoamka!
 
Atakayepata mchongo kwa ticha wa chemistry na bios anitonye na mimi.
Npo Dar es salaam.
I'm gonna give him/her thanks if needs be
 
Wakuu habari zenu...Mimi ni mwalimu katika somo la hesabu na kiwango changu cha elimu ni level ya degree..ninatafuta kazi ya kufundisha somo la hesabu katika shule yoyote private ya primary, o-level,a-level or chuo chochote cha diploma...mnakaribishwa zaidi kwa maswali...ahsanteni
Kama bado hujapata. Martin Luther Dodoma anatafutwa mwalimu was maths, science and English haraka sana ila uwe vizuri sio bla bla
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom