ahsante kwa mchango wako mkuuWasomi mmeshaanza kulia lia njaa mnataka muajiriwe #
sawaa mkuu nakaribiaMara kadhaa nimeweka mabandiko humu au kupost kwenye nyuzi mbali mbali nahitaji mwalim wa Mathematics. Anyway, walimu wa Mathematics njooni PM niwape email mtume vyetu vyenu na cv
haina tatizo,mkuu PM yako imefungwaIla usiwe miongoni mwa watu nliowahi kuwa-interview wakafail. Maana pengine umebadili ID tu
Oppsss! Sorry, nimeku-PM tayarihaina tatizo,mkuu PM yako imefungwa
Wakuu bado natafuta
Ahsante kwa ushauri...but sishangai kuna watu kama wewe huwa wamekaa maofisini miaka nenda rudi na ni mabingwa haswa wa kuwaambia wenzao wajiajiri huku wao wakiwa wameajiriwaJiajiri bhana utatafuta mpaka lini mshahara wenyewe magumashi #anzisha biashara yako #unapoteza Muda #kusaka ajira
Daah kweli mkuu ngoja tuendelee kukomaaHii nchi bado ina matatizo makubwa sana...!! Yaani hapo mzazi hela za Ada zimechukuliwa na hapo tangu A-level si chini ya milioni 10. Halafu milioni 10 umepewa karatasi ambayo wewe na waliokupa wanaiita degree,hiyo degree ambayo umetumia miaka lukuki kuipata na hela zimechukuliwa,leo unahangaika nayo kutafuta kazi. Huenda watakaokuajiri ni wale wa darasa la 7 ambao wewe wakati unahangaika kuitafuta hiyo karatasi,wao walikuwa wanakusanya pesa.
Hiyo unayoiita degree,huwezi kwenda kuiweka dhamana bank wala pharmacy wakakupa dawa km unaumwa. Pole sana mkuu,me sina shule ningekupa kazi.
This is not good at all, unamkatisha mwenzako tamaaHii nchi bado ina matatizo makubwa sana...!! Yaani hapo mzazi hela za Ada zimechukuliwa na hapo tangu A-level si chini ya milioni 10. Halafu milioni 10 umepewa karatasi ambayo wewe na waliokupa wanaiita degree,hiyo degree ambayo umetumia miaka lukuki kuipata na hela zimechukuliwa,leo unahangaika nayo kutafuta kazi. Huenda watakaokuajiri ni wale wa darasa la 7 ambao wewe wakati unahangaika kuitafuta hiyo karatasi,wao walikuwa wanakusanya pesa.
Hiyo unayoiita degree,huwezi kwenda kuiweka dhamana bank wala pharmacy wakakupa dawa km unaumwa. Pole sana mkuu,me sina shule ningekupa kazi.
Umeelewa nilichoandika lakini!?? Hebu onyesha sehemu ya kukatisha tamaa!??? Nimemtumia yeye km kielelezo tu lkn nimelenga kukosoa mfumo mzima wa elimu yetu tuliyorithi kutoka kwa mwingereza. Unajua kijana km huyu ambaye amechukua mifugo ya wazazi akalipiwa ada,sasa hivi hana msaada wowote,maana hawa wenye karatasi zinazoonyesha degree hawawezi kufanya kazi yoyote. Huyu huwezi kumwambia akauze miwa akakubali hata km hiyo miwa imelimwa na Baba yake. Yaani umwambie aende tu shambani akakate ajaze mkokoteni akauze rejereja apate mtaji hatakubali. Huyu akili yake yote ipo kwenye kuajiriwa. Na si kosa lake ni kosa la mfumo....ni hadi siku watunga Sera watakapoamka!This is not good at all, unamkatisha mwenzako tamaa
Sio wote tunaweza kupita njia moja, kumbuka hili
Kama bado hujapata. Martin Luther Dodoma anatafutwa mwalimu was maths, science and English haraka sana ila uwe vizuri sio bla blaWakuu habari zenu...Mimi ni mwalimu katika somo la hesabu na kiwango changu cha elimu ni level ya degree..ninatafuta kazi ya kufundisha somo la hesabu katika shule yoyote private ya primary, o-level,a-level or chuo chochote cha diploma...mnakaribishwa zaidi kwa maswali...ahsanteni
Ahsante sana mkuu...nakuja pmKama bado hujapata. Martin Luther Dodoma anatafutwa mwalimu was maths, science and English haraka sana ila uwe vizuri sio bla bla