Mwalimu wa EGM anahitajika

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Natafuta mwalimu mzuri wa EGM kwa ajili ya kufundisha tuition vijana wa form six kuanzia tarehe 7/12/2021 – 23/12/2021. Idadi ya vijana ni sita na wote wapo Arusha. Kwa ambae yuko interested njoo inbox.
 
Kupata mwalimu EGM full itakua ngumu ila mwalimu wa geo na math au economics na geo au math only,wapi mii nije kupiga pure math na geog
 
Back
Top Bottom