Mwalimu wa Database management system (DBMS) anahitajika

MTEULE 05

Member
Sep 27, 2021
22
30
Wakuu habari za mda huu na poleni kwa mihangaiko!

Kama maana inavyojieleza hapao juu.

Nahitaji mwalimu ambaye yuko vizuri kwenye upande wa database ili apate niwe mwanafunzi wake kuna changamoto napitia japo Mwanga wa database ninao nikuongezea vitu vidogo tu ile nikihakikishie katika mambo hayo ya database.

Kama kuna mtu anaweza kufundisha au anaconnection ya hii course please aniunganishe na wahusika.

Kuhusu malipo hakuna shida kikubwa maelewano.

Natanguliza shukuran!
 
www.tzcodeacademy.com
Check hiyo hapo
 
1. Youtube
2. Udemy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom