Mwalimu wa Chemistry & Biology anahitajika Kibaha

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
445
259
Habari JF,

Msomi Tuition Center iliyopo Kibaha Kongowe ina uhitaji wa Mwalimu wa Chemistry na Biology kwa Advance Level

Ukiwa una sifa za kufundisha masomo hayo kwa Advance Level tuwasiliane kwa 0693 347206

Muombaji aliyepo Kibaha atapewa kipaumbele
 
Tuition malipo n kulingana na ukubwa wa kituo mkuu, hiyo ukiwa karibu n nzur kwa kukuongezea experience ya teaching.
Najua ni hivyo, lakin unaweza ukaweka wazi tu.
Kwa mfana siku hiyo watoto wakiacha 10k.
Nyie mnachukua sh ngp na ticha mnampa sh ngp?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom