Mwalimu wa Biology na Chemistry anahitajika Mwanza

Jun 13, 2021
5
1
Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu.

Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.

Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya kumaliza vipindi anaweza akaenda akaendelea na shughuli zake nyingine.

Vigezo vya mwalimu awe na uzoefu wa kufundisha kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Mawasilio yetu ni : 0737- 988 897, e-mail: planetopenschool2@gmail.com.
 
Taasisi hii inahitaji mwalimu wa Economics, Commerce na Accountancy mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.

Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya kumaliza vipindi anaweza akaenda akaendelea na shughuli zake nyingine.

Vigezo vya mwalimu awe na uzoefu wa kufundisha kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Mawasilio yetu ni : 0737- 988 897, e-mail: planetopenschool2@gmail.com.
 
,
Screenshot_20211011-171254.jpg
 
Back
Top Bottom