Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

Panda Burdan Nauli sh.11,000 inakuleta mpaka stendi ya Korogwe.Au Panda mabasi ya Arusha huwa wanachaji kati ya 15,000 -20,000 au panda Rahaleo nauli elfu 13,500 halafu teremka segera then panda coaster 1,500 mpaka Korogwe.Au panda Ratco 18,000 then teremka Segera halafu kamata Coaster to Korogwe. But all in All Burdan Ndo usafiri wa wakazi wa Korogwe Mwalimu. Karibu sana utuondolee div.V.

Kuhusu vyumba wala Usihofu na Pesa yako tu Mwalimu kuna hotels,lodge na guest house za kutosha. Bei zina-range kati ya elfu 10,000 na elfu 50,000.Chaguo lako tuu, Mfano white Parrot ni 30,000 na kuendeleea white House 15,000 na kuendele, Mvuni na nyinginezo nyingi sana.Bei zinalingana lingana.
asant kwa maelezo mazur nilipend kujua kod ya vyumba kwa ajil ya kuishi asant
 
Musoma vijijin ni kubwa sana ila kuna baadhi ya sehem zimechoka sana usafiri unazingua na umeme haupo kabisa mfano ni sehem za majita, ila kuna sehem ziko safi sana km nyabange, makutano,kiabakari, baadhi ya maeneo ya butiama n.k

tanx ivi kuna umbali gani kutoka musoma town hadi musoma vijijini
 
Kaka hiyo ni wilaya ambayo haina hata majengo ya halmashaur(wilaya changa) ofisi zake zipo tanga jiji na huduma zake kuanzia benk zipo tanga jiji na shule zake nyingi zipo porini ila kwenda tanga jiji ni karibu sana,karibu waje leo warud kesho
 
Tukutane bukoba club this weekend Saturday
Hali ya hewa ya bukoba generally ni ya ubaridi ,, karibu sana huku tukutane bukoba club tupate samaki mkuuubwa na upepo wa ziwani , ila mda si mrefu utalazimika kujifunza kihaya maana watu wa huku tuna assume kila mtu ni wa huku , usije shangaa umekaa sehem mtu anakuja anakuuliza kitu kwa kihaya


"From tz with true luv"
 
Back
Top Bottom