MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
Nadhani hapa mnataka kumfanya Nyerere aonekane kwamba alikuwa siyo chochote kwa Henry Kissinger, Well sorry to burst your bubble lakini kwenye kitabu alichoandika mwenyewe Dr Kissinger alikiri kwamba Tanzania ilikuwa ni moja ya nchi ndogo ambazo zilikuwa na ushawishi mkubwa sana kwenye siasa za Afrika.Not true. Kissinger was very smart, he kept himself down purposely. Nyerere kafunguka hadi mambo aliyotakiwa kuyamezea and that was a deal-done for Kissinger
Sent using Jamii Forums mobile app