Mwalimu Nyerere: "...Ningekuwa na uwezo ningeitupa Zanzibar Baharini"

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
88e8c0a398a0580e75f72210.L.jpg

Julius Nyerere's friends recall that he had long worried about the closeness of Zanzibar to the Tanganyikan mainland. "If I could tow that island into the middle of the Indian Ocean," he had said a few years earlier, "I'd do it." At a dinner party in Dar es Salaam a year or two before independence, he had remarked that he thought one of Tanganyika's biggest problems in later years would be Zanzibar.No, I'm not joking," " he said at the time. "An alien monarchy, with the sons dabbling in politics. It's very vulnerable to outside influences. I fear it will be a big headache for us." -William Edgett Smith We Must Run While They Walk, p. 121.

Mwl atalibaini Zanzibar itatuletea matatizo zaidi ya miaka hamsini iliyopita mpaka leo sioni solution ya muungano.
 
Mwalimu was a living saint Watanzania hatukujua mengi kwa kuwa alikuwa mwenzetu anatoka Butiama lakini alikuwa visionary
 
kwasababu anajua aliyoyafanya kuhusu znz.nikama mwanafunz asie soma hlf akasema mtihan ujao ntafel.
 
..."If I could tow that island into the middle of the Indian Ocean," ..."I'd do it."...

If he could tow - implying if he could move it far away from the shores of Tanganyika (kuondoa kiwingu)... Sioni pahala aliposema directly or even by inference kuwa "NITAIZAMISHA"!!

Mtu anaposema "hebu mpotezee huyo" - hamaanishi umlipue kwa bomu na kubakia vipandevipande!
 
Loh! kwa vile hakuweza kitosa baharini akona bora tuungane tena kwa nguvu na si utashi wa pande zote mbili kwa dhati. Kwamba if you can't fight them join them, sasa habari ndo hiyo. Kumbe hawa jamaa wasumbufu. Sasa si tuwateme tuuuuu.
 
If he could tow - implying if he could move it far away from the shores of Tanganyika (kuondoa kiwingu)... Sioni pahala aliposema directly or even by inference kuwa "NITAIZAMISHA"!!

Mtu anaposema "hebu mpotezee huyo" - hamaanishi umlipue kwa bomu na kubakia vipandevipande!

Na wewe unatumiksi si kwamba umeelewa kivile na maana zako za kim-taa mtaa. Move if far we umeona uelekeo ni upi? bado inaweza kutoka juu kuelekea chini na ikahesabika kuwa ni far vilevile. Hakuonesha direction vilevile mbali kluelekea wapi, Kusini, kaskazini, mashariki au magharibi, Issue vilevile sio kuipotezea tu, issue ni kwa nini aipeleke mbali? Ni usumbufu tuuonao sasa. Usikwepe hoja ya msingi na kuanza kutafuta vijitu vidogo.
 
...with the sons dabbling in politics. It's very vulnerable to outside influences. I fear it will be a big headache for us...

...in the current state of affairs, I think the same can be said for Tanzania Bara!!
 
Na wewe unatumiksi si kwamba umeelewa kivile na maana zako za kim-taa mtaa. Move if far we umeona uelekeo ni upi? bado inaweza kutoka juu kuelekea chini na ikahesabika kuwa ni far vilevile. Hakuonesha direction vilevile mbali kluelekea wapi, Kusini, kaskazini, mashariki au magharibi, Issue vilevile sio kuipotezea tu, issue ni kwa nini aipeleke mbali? Ni usumbufu tuuonao sasa. Usikwepe hoja ya msingi na kuanza kutafuta vijitu vidogo.

Hoja ya msingi ni ipi hapa?? Mwono wa Nyerere au matatizo ya Zanzibar enzi hizo hadi leo hii??

Huhitaji stashahada ya political science kuelewa matatizo ya Zanzibar na vulnerabilities zilizopo...
 
Hiyo Zenj ni tatizo mpaka humu JF tehe tehe tehe!!!!!!!!! Stay tuned maana huwa inaingia kwa mpigo, sasa sijui ni mtu mmoja ikilala na ID zote zinalala?!!!!!!
 
88e8c0a398a0580e75f72210.L.jpg

Julius Nyerere's friends recall that he had long worried about the closeness of Zanzibar to the Tanganyikan mainland. "If I could tow that island into the middle of the Indian Ocean," he had said a few years earlier, "I'd do it." At a dinner party in Dar es Salaam a year or two before independence, he had remarked that he thought one of Tanganyika's biggest problems in later years would be Zanzibar.No, I'm not joking," " he said at the time. "An alien monarchy, with the sons dabbling in politics. It's very vulnerable to outside influences. I fear it will be a big headache for us." -William Edgett Smith We Must Run While They Walk, p. 121.

........hes said... i am not joking........"An alien monarchy, with the sons dabbling in politics.

and then you expect us to respect this malicious moron who missed a piece of pie, OMG, greed is good, but only when you are on the better side

Slidingpoop, you are very smart and a brilliant talent, i always admire you case building, analytical skills and above all... the provocative approach to critical matters... but once you start coming with gossip, you aint much different to Kimora in the fab lane or at least Gea Habib

C'mon you are better than that and just lay back and enjoy your piece of a pie as long as it lasts
 
Hiyo Zenj ni tatizo mpaka humu JF tehe tehe tehe!!!!!!!!! Stay tuned maana huwa inaingia kwa mpigo, sasa sijui ni mtu mmoja ikilala na ID zote zinalala?!!!!!!
payroll... bankroll... scroll, we roll, they roll, vodaroll.... p*****roll
 
Much missin' u mwalimu, kuna wahuni wanaharibu nchi wako tayari kubaki madarakani kwa kila gharama..
 
If he could tow - implying if he could move it far away from the shores of Tanganyika (kuondoa kiwingu)... Sioni pahala aliposema directly or even by inference kuwa "NITAIZAMISHA"!!

Mtu anaposema "hebu mpotezee huyo" - hamaanishi umlipue kwa bomu na kubakia vipandevipande!
Steve, kwani umemjua leo huyo slider?? Ukiona hivyo ujue kakosa something somehwere
 
Nilifikiri kiinglish changu cha st. Hamisi academy ndo kinayumba kumbe umegundua hata weye kwamba mwenzetu st. Joackim academy yake haijakaa vizuri.

Back
Top Bottom