Mkuu kapate kashata na ghahwa ...akili ipate akili...! Hapa unaharibu tu mjadala!hujaelewa...nasisitiza hana hekima
Watu kama hawa lengo ni kuvuruga na kututoa kwenye mjadala,lakini kinachonishangaza zaidi WANAFANIKIWA!Nyerere is big time failure..
Ilikuwa dhambi kubwa kuacha huyu madarakani kwa miaka 24! big mistake
Watu kama hawa lengo ni kuvuruga na kututoa kwenye mjadala,lakini kinachonishangaza zaidi WANAFANIKIWA!
Lakini ukweli hiki kisiwa ni headache kwetu kwa sasa kama alivyosema mwalimu!
Na wewe unatumiksi si kwamba umeelewa kivile na maana zako za kim-taa mtaa. Move if far we umeona uelekeo ni upi? bado inaweza kutoka juu kuelekea chini na ikahesabika kuwa ni far vilevile. Hakuonesha direction vilevile mbali kluelekea wapi, Kusini, kaskazini, mashariki au magharibi, Issue vilevile sio kuipotezea tu, issue ni kwa nini aipeleke mbali? Ni usumbufu tuuonao sasa. Usikwepe hoja ya msingi na kuanza kutafuta vijitu vidogo.
Lakini ukweli hiki kisiwa ni headache kwetu kwa sasa kama alivyosema mwalimu!
Ni kweli hata SITTA alisema bungeni kuwa mfumo wa serikali tatu tanganyika itapata mbia ambaye zanzibar,na itakuwa headache kwa tanganyika,kwani zanzibar itapiga hatua haraka mno ya maendeleo,na tanganyika hicho choyo ndicho kilichowatoka kina nyerere,hata nchi za magharibi huko europe.Lakini ukweli hiki kisiwa ni headache kwetu kwa sasa kama alivyosema mwalimu!
Unaona ni usumbufu lakini mufahamu 47 miaka mumetutia umasikini wazanzibari na zanzibar kwa ujumla,nyerere hakumaanisha kuwa itawasumua zanzibar wakati huu,toka hapo awali ilikuwa inamsumbua zanzibar na sio yeye tu na europian country na america walikuwa wanasumbuka vile vile,wakaona waigawe zanzibar vipande vipande haikutosha,mwisho kuwapindua wazanzibari nchi yao,chini ya wazanzibari vivuli,kama karume,na kuingiza katika kinywa cha muungano kiubana zanzibar kiuchumi.Na wewe unatumiksi si kwamba umeelewa kivile na maana zako za kim-taa mtaa. Move if far we umeona uelekeo ni upi? bado inaweza kutoka juu kuelekea chini na ikahesabika kuwa ni far vilevile. Hakuonesha direction vilevile mbali kluelekea wapi, Kusini, kaskazini, mashariki au magharibi, Issue vilevile sio kuipotezea tu, issue ni kwa nini aipeleke mbali? Ni usumbufu tuuonao sasa. Usikwepe hoja ya msingi na kuanza kutafuta vijitu vidogo.
Hamna lolote,nyerere na elimu yake yote hakuwa na na uwezo wa kuleta maendeleo katika nchi yake,na ndio maana aliona choyo kwa zanzibar,kwa vile zanzibar ipo karibu na tanganyika inakuwa inawaumiza sana kuona visiwa vidogo kama zanzibar vina maendeleo kuliko mainland huko tanganyika.Hivi ni wapi wamesema kuzamisha !!??
Sababu hapo naona "TOW" ambayo inamaanisha kuvuta na Middle ya Indian ocean katikati ya bahari.... Sasa wakuu ninauliza ni vipi unaweza kuzamisha kitu kwa kukivuta na sio chini ya bahari bali katikati ya bahari...
Ukisoma paragraph nzima utaona kwamba sentence inamaanisha kwamba angekipeleka kisiwa mbali ili kuepuka matatizo ya vita baridi
Wewe soma nyakati kwanza zanzibar kabla ya uhuru na mapinduzi ilikuwa vipi kiuchumi ? Ilikuwa vipi kimaendeleo ? Ikisha linganisha na Tanganyika kwa wakati huo ifananize na zanzibar ilikuwa vipi kimaendeleo ?Jamani labda hamkumwelewa Nyerere kwa sababu naona kama mnapotosha vile!..
Zanzibar ilikuwa ikitawaliwa na Sultan na wakati ule kulikuwa hakuna dalili kabisa ya AfroShiraz kushinda pamoja na jitihada zote zilizofanywa. Hivyo alitazama yatakayokuja mbeleni na alielewa pale itakuja tokea vita kubwa kwani bila vita haitakuwa rahisi nchi ile kuwa huru. Hivyo akasema kama angekuwa na uwezo angeisogeza Zanzibar ndani zaidi bahari ya Hindi ili isiwe tatizo lake na Afrika.. Na kweli, Uhuru wa Zanzibar ni historia ambayo hatutapenda kurudiwa! tunaelewa vizuri kilichotokea na UTU wa binadamu haukuthaminiwa kabisa.. Yawezekana he was right, Pengine Zanzibar ingekuwa salama zaidi kama ingekuwa ndani zaidi bahari ya Hindi ikajulikana ni sehemu ya Oman maanake wanatupa shida hadi leo hii - Who know pengine wangekuwa wameendelea zaidi ya leo hii..
muungano unafaida kwao na sio huku bara lakini wanaonza chokochoko ni wao muungano hautusaidii chochote bara kwa sasa tanzama viongozi walioko bara wanatoka kwao angalia fursa za kibiashara wabara wanachomewa hata mabanda ya makutihoja ya msingi ni ipi hapa?? Mwono wa nyerere au matatizo ya zanzibar enzi hizo hadi leo hii??
Huhitaji stashahada ya political science kuelewa matatizo ya zanzibar na vulnerabilities zilizopo...
wale sio wafanya biashara ni waharibifu wa mazingira,utamaduni na culture za wazanzibari.muungano unafaida kwao na sio huku bara lakini wanaonza chokochoko ni wao muungano hautusaidii chochote bara kwa sasa tanzama viongozi walioko bara wanatoka kwao angalia fursa za kibiashara wabara wanachomewa hata mabanda ya makuti
Unaandika madudu gani haya? unalinganisha Zanzibar na Tanganyika kabla ya Uhuru ili upate kitu gani? - wewe mtumwa wa Jamsheed? inahusu vipi maendeleo yaliyoletwa na Sultan kulinganisha na na ya Mjarumani au Muingereza!...Wewe soma nyakati kwanza zanzibar kabla ya uhuru na mapinduzi ilikuwa vipi kiuchumi ? Ilikuwa vipi kimaendeleo ? Ikisha linganisha na Tanganyika kwa wakati huo ifananize na zanzibar ilikuwa vipi kimaendeleo ?
Hizo unazo sema wewe ni siasa tu,sisi tunaangalia nyakati za kiamendeleo na uchumi,uwongozi. Zanzibar ilipata uhuru wake 1963 kuwa mwanachama kamili wa UN,unajua sheria za kujiunga na UN ili uweze kupatia uwanachama pale United Nation ?
Kama hujui basi kazitafute. ingia hapa United Nations and the Rule of Law
Ukiweza kutimiza hayo masharti basi ndio unaweza kupatiwa uwanachama wa UN,na katika masharti hayo ni Humain right ,sasa leo hii tunaletewa siasa na uwongo hapa kwetu,eti ubaguzi,acheni unafiki,tuwe wawazi,tusome nyakati.
Nyerere kitu ambacho kilicho muumiza zanzibar ni UTAJIRI WA ZANZIBAR basi hakuna jengine. Choyo tu.