Mwalimu Nyerere: "...Ningekuwa na uwezo ningeitupa Zanzibar Baharini"

MTM.....hahahahahaaa!
Nimeipenda sana hiii
SLIDINGPOOP............he is a Membe die hard fun....lakini hapa kweli naona kaja ki-Kimora zaidi.
 
Sasa si tukizamishe saiz tu, tumechelewa, ila hatujachelewa saaaaana
 
Jamani labda hamkumwelewa Nyerere kwa sababu naona kama mnapotosha vile!..

Zanzibar ilikuwa ikitawaliwa na Sultan na wakati ule kulikuwa hakuna dalili kabisa ya AfroShiraz kushinda pamoja na jitihada zote zilizofanywa. Hivyo alitazama yatakayokuja mbeleni na alielewa pale itakuja tokea vita kubwa kwani bila vita haitakuwa rahisi nchi ile kuwa huru. Hivyo akasema kama angekuwa na uwezo angeisogeza Zanzibar ndani zaidi bahari ya Hindi ili isiwe tatizo lake na Afrika.. Na kweli, Uhuru wa Zanzibar ni historia ambayo hatutapenda kurudiwa! tunaelewa vizuri kilichotokea na UTU wa binadamu haukuthaminiwa kabisa.. Yawezekana he was right, Pengine Zanzibar ingekuwa salama zaidi kama ingekuwa ndani zaidi bahari ya Hindi ikajulikana ni sehemu ya Oman maanake wanatupa shida hadi leo hii - Who know pengine wangekuwa wameendelea zaidi ya leo hii..
 
Jamani labda hamkumwelewa Nyerere kwa sababu naona kama mnapotosha vile!..

Zanzibar ilikuwa ikitawaliwa na Sultan na wakati ule kulikuwa hakuna dalili kabisa ya AfroShiraz kushinda pamoja na jitihada zote zilizofanywa. Hivyo alitazama yatakayokuja mbeleni na alielewa pale bila vita itakuwa sii rahisi nchji ile kuwa huru. Hivyo akasema kama angekuwa na uwezo angeisogeza Zanzibar ndani zaidi bahari ya Hindi ili isiwe tatizo lake na Afrika.. Na kweli, Uhuru wa Zanzibar ni historia ambayo hatutapenda kurudiwa na pengine ingekuwa salama zaidi kama ingekuwa ndani zaidi bahari ya Hindi ikajulijana ni sehemu ya Oman. Who know pengine wangekuwa wameendelea zaidi ya leo hii..

Hivyo ndio wewe ulivyo elewa?

Nasi tumeelewa alikuwa na maanisha nini..

Hakuna anayepotoshwa..wewe ndio unataka tuelewe upendavyo..na huo ndio upotoshaji.
 
Sawa kama umeelewa hivyo, ila naomba weka mazungumzo yote kama yalivyotokea...
 
Labda tuseme alikuwa anatania!!!!alijuaje kuwa the island could bring the horroble situation that we have now?
 
But it happened right?..Unajua kabla ya Nyerere kusema haya viongozi wote wa nchi za Afrika mashariki na wajumbe wake walikuwa wakikutana mara kwa mara ktk mikutano inayohusu Uhuru wa nchi zetu. Nyerere, Kenyatta, Kaunda na Karume walikuwa wawakilishi ktk vikao vingi sana na chama pekee ambacho kilipata ushindani mkubwa nchini mwao kilikuwa ASP ya Karume kutokana na chama cha waarabu - Hizbu ambao walikuwa na beef na ASP pamoja na TANU wala sii kidogo.

Tatizo hili watu wengi hawalizungumzii kabisa, na kwa mwenye hekima kama Nyerere haikuwa ajabu kabisa kwa mwenye upeo mkubwa kama Nyerere kuyaona hayo!...Na trust me hata mimi leo kama ningekuwa na uwezo wa kukihamisha kisiwa hiki basi ningekisogeza mbali na bara maanake tumeshindwa kujenga Utaifa kuzungumzia matatizo ya wananchi isipokuwa maswala ya rangi, dini na kadhalika kwa sababu asilimia zaidi ya 80 ya Wazanzibar ni wahamiaji (watu wa kuja) mila na desturi zetu tofauti kabisa!

Nawaudhi watu sana tu, lakini ndio ukweli!
 
Kwanza hekima hana period

Matatizo ya udini na ubaguzi ameanza yeye..na tutayamaliza InshAllah

Hizo hekima anazo kwa waliofaidi ubaguzi wake wnataka kumuita st. nyerere period
 
Kasome kwenye kitabu kilichopo kwenye thread..
Nimekisoma na ndio maana nataka wewe uyaweke maelezo yote hapa na sii kuchukua vipande vipande..I could tow that island, nyie Wazenj mnasema - Kukizamisha kisiwa! kwa hiyo bora uyaweke yote wasomaji wataamua wenyewe ukweli ni upi.
 
88e8c0a398a0580e75f72210.L.jpg

Julius Nyerere's friends recall that he had long worried about the closeness of Zanzibar to the Tanganyikan mainland. "If I could tow that island into the middle of the Indian Ocean," he had said a few years earlier, "I'd do it." At a dinner party in Dar es Salaam a year or two before independence, he had remarked that he thought one of Tanganyika's biggest problems in later years would be Zanzibar.No, I'm not joking," " he said at the time. "An alien monarchy, with the sons dabbling in politics. It's very vulnerable to outside influences. I fear it will be a big headache for us." -William Edgett Smith We Must Run While They Walk, p. 121.

Missing translation or Lost in translation?
Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kwanza hekima hana period

Matatizo ya udini na ubaguzi ameanza yeye..na tutayamaliza InshAllah

Hizo hekima anazo kwa waliofaidi ubaguzi wake wnataka kumuita st. nyerere period
Sawa hana hekima, kwani toka lini marehemu akawa na hekima... Acha uhuni mkuu wangu haikusaidii ktk mjadala, kama asingekuwa na Hekima huyu mwandishi asingeandika kitabu kumhusu Nyerere..Waliopo leo na waliokufa, hakuna hata mmoja wao anayeweza kuwavuta hawa waandishi kuandika hata maisha yao tu..Na wakiandika havitauzika!
 
Unajua maana ya hekima? tofauti inaanza kuanzia hapo kwenye mjadala

Wapuuzi wengi tu vitabu vyao vinauza lakini hawana hekima kama yeye....
 
88e8c0a398a0580e75f72210.L.jpg

Julius Nyerere's friends recall that he had long worried about the closeness of Zanzibar to the Tanganyikan mainland. "If I could tow that island into the middle of the Indian Ocean," he had said a few years earlier, "I'd do it." At a dinner party in Dar es Salaam a year or two before independence, he had remarked that he thought one of Tanganyika's biggest problems in later years would be Zanzibar.No, I'm not joking," " he said at the time. "An alien monarchy, with the sons dabbling in politics. It's very vulnerable to outside influences. I fear it will be a big headache for us." -William Edgett Smith We Must Run While They Walk, p. 121.

Umetafsiri vibaya sana hayo maneno ya Kiingereza. Hakuna mahali ambapo Nyerere amesema "nitaizamisha Zanzibar katikati ya bahari"
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom