hii pia inasaidi na kutoa funzo kwa marais wengine kuepuka kufanya wanavyotakaHajawahi kufunguliwa kesi ya jinai akiwa madarakani, sidhani pia kama kuna kesi yeyote ile imewahi kufunguliwa akiwa madarakani! Ila uchunguzi mbalimbali juu ya mienendo yake umewahi kufanyika, not kupandishwa kizimbani