Mwalimu nyerere memorial

Esrom makono

Senior Member
May 11, 2019
121
76
Naomba msaada waungwana hicho chuo kikuu kinapatikana dar mazingira yake yakoje,
je kina ushindani mzuri na vyuo vikuu vingine hapa Tanzania? Naomba msaada.
 
Kipo Dar Es Salaam, kigamboni mazingira ni mazuri hapo kwenye ushindani sifahamu ila kina mazingira mazuri kabisa na upepo mwanana mwa bahari
 
Naomba msaada waungwana hicho chuo kikuu kinapatikana dar mazingira yake yakoje,
je kina ushindani mzuri na vyuo vikuu vingine hapa Tanzania? Naomba msaada.
Kiko poa sana , na siku izi kinazidi kua juu zaidiii, kiko vizuri kama ume plan kwenda pale sio mbaya
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom