Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

kweli huyu mama wamemchakachua sana, na kwa jinsi mwalimu alivyokua, hakupenda watoto wake wapate uongozi wa dezo kama alivyopata Nape
 
Angekuwepo ANGEACHA MKE, Walahhh wabilah!!!
attachment.php

attachment.php


View attachment 38407View attachment 38408View attachment 38409



MKUU HAPO BIBI HAKUWA NA NAMNA MAANA WALIMUALIKA WAKAMPELEKEA NA MAGAMBA KABISA, Unafikiri wasingempelekea angejisumbua kwenda kushonesha magamba wakati enzi za uhai wa mumewe hakuwahi kuonekana na gamba?
 
Nimeukuta mjadala huu mahala fulani, eti wadau nasikia enzi za uhai wa Hayati MWL. J. K. NYERERE hakuwahi kuvaa SARE YA CHAMA, CCM (kijani na njano) hata mara moja.

Je, jambo hili linaukweli ndani yake? Na kama ni kweli tunajifunza nini?
 
Hahahha! Ni kweli, ila kuna picha moja ninayo kwenye maktaba yangu nitaishusha jamvini punde nikifika home nipeni muda
 
Huenda ni kweli kwani hata mimi kwa kumbukumbu zangu bado sikumuona hata siku moja kuvaa jezi ya kijani
 
Kifimbo kile kilikuwa kinamuongoza.

Hivi kifimbo kile alizikwa nacho au amekabidhiwa nani?
 
Huenda ni kweli kwani hata mimi kwa kumbukumbu zangu bado sikumuona hata siku moja kuvaa jezi ya kijani
Nyerere alikuwa anafahamu nafasi yake Tanzania na alikuwa anawafahamu fika watu watakao mrithi hivyo hakutaka mbele ya safari achafuke kwa kuonekana alikuwa mwanachama. Kulikuwa na tetesi kwamba alitaka kurudisha hata kikadi chao, wakamuomba asifanye hivyo.
 
Mhh hii nimeipenda sana,maana hata mimi sikuwahi kumuona akivaa Kijani angalau katika kipindi ambacho nimekuwa nafuatilia kusoma magazeti ya Uhuru na Mzalendo na hata magazeti yetu ya serikali katika kipindi cha mwaka 1983-mpka alipostaafu rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi wakati huo hakikuwa chama cha magamba.

Mwenye angalau picha yake akiwa kavalia Kijani ambayo haijafanyia mautundu tafadhali atuwekee hapa!

Kikubwa kama hivyo ndivyo ni kwanini basi alikuwa havai mavazi hayo? Nitapenda mwenye ujuvi wa haya maswali muhimu atuambie!
 
hata kwenye hotuba ukiangalia hajawai kuvaa labda skafu tu au alijua ccm ni tatizo
 
Marehemu mwalimu Nyerere alishasoma alama za nyakati kwakutokuvaa hizo jezi alishajua wanaovaa wote ni wezi na wanafki! nimejaribu kuingia kwenye maktaba yangu nimetafuta picha za mwalimu hata zile tokea chama cha ccm kinazaliwa sijaona picha aliyovaa hizo nguo zenye rangi ya kijani. lakini bado sipingi hoja hii kama kuna mwenye hizo picha alete tu lakini itakua ilikua anavaa kwa machale sana.
 
No data no research no right to speak' ngoja nikae kimya maana sijui lolote!
 
Back
Top Bottom