Mwalimu Nyerere hakupenda kutishwa

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Kituo cha television cha itv hutoa sehemu za hotuba ya hayati mwl nyerere,kuna hotuba yake aliyoitoa akiwa ameshaastaafu urais anasema;
"enzi hizo ktk uongozi wangu sikupenda kabisa kutishwa lakini siku hizi nimekomaa mtu akinitisha naogopa".
mytake.
Kauli hii naiona ipo kinyume kabisa kwa sababu mtu ambaye hajakomaa ni rahisi kutishwa.kwa kipindi nyerere alipoanza uongozi alikuwa kijana kabisa na alikuwa ana msimamo thabiti dhidi ya vitisho vya mabeberu,kwa nini aseme sasa amekomaa akitishwa anaogopa? Mnasemaje wana jf!
 
Kitafute ukisome kisa cha Lonrho na Tiny Rowland utajuwa kuwa Nyerere alitishwa na akaogopa.

Kwa ufupi tu; Tiny Rowland aliwekeza Tanganyika kabla ya Uhuru na baadae Tanzania . Nyerere akawataifisha na alipotakiwa atazame upya kuwataifisha, akasema akitazama nyuma atageuka jiwe na yeye hayuko tayari kugeuka jiwe. Tiny akaanza vitu vyake duniani, Nyerere akarudisha mali zote za Tiny alizotaifisha na zilizoharibiwa akazilipa na hapo hapo akawaruhusu waendelee kuwekeza wakipenda.

Jee ni nini alichokifanya Tiny mpaka kikamtisha Nyerere na akaona ni bora ageuke jiwe kuliko kuendelea kung'ang'ania mali za Tiny?
 
Kitafute ukisome kisa cha Lonrho na Tiny Rowland utajuwa kuwa Nyerere alitishwa na akaogopa. Kwa ufupi tu; Tiny Rowland aliwekeza Tanganyika kabla ya Uhuru na baadae Tanzania ...
Hawa walikuwa wawekezaji ama wanyonyaji? ifike mahali tukubali ukweli kuwa the so called investors ni wanyonyaji wenye kupora rasilimali zetu kwa sera walizozitunga na kutuletea wakati wa utawala wa awamu ya tatu! Ben Mkapa mwenye aliwahi kukiri kuwa walimdanganya kuwa wakikubali kubinafsisha kila kitu in return wataleta mitaji na technologia! kinyume na matarajio yake alichokiona ni capital flights ya hali ya juu... Mengi anajaribu kuwaelimisha umuhimu wa kuwa na investors wazawa wengi na kuwa serikali inatakiwa iwape kipaumbele lakini wanaishia kumnanga! Bakhressa et al ni watu muhimu sana kwetu, wanatofauti kubwa sana na wawekezaji kama Barrick, Symbion, et al... Nyerere aliona mbali, madini haya alikuwa anajua kua yapo, alikataa masharti ya kipuuzi akatuwekea mpaka tutakapo kuwa tayari kuyavuna kwa faida ya vizazi vyetu vijavyo! Ona sasa CCM mnafanya nini zaidi ya kugeuzwa vibaraka wa mabeberu...RIP JKN...
 
KWA WEWE Nyerere kwako ni kama Nabii na wewe ni mfuasi mfia jina lake kama vile alivyofanya Seti Benhamin kukubali kufa kwa kuunga azimio la Arusha.

Ronho hakuwa Mnyonyaji, bali aliwekeza sana hapa Tanganyika na kutoa ajira nyingi sana kwa watanzania mpaka kudhamini wachezaji wa kulipwa kuchezea timu yake ya TPC ya Moshi. kitendo cha nyerere kumnyang'anya Ronho mali zake na matajiri wengine, kiliwafanya watanzania wengi sana kupoteza ajira na hata kushindwa kulipia ada za shule za watoto wao.

Nyerere hakuishia hapo, alipiga marufuku mashindano maarufu ya magari duniani yaliyokuwa yanafanyika hapa tanganyika yaliyokuwa yanajulikana kama the East african rally.

gari likipita mlima Usambara bila kupoteza point nyingi, na kuja shinda basi hilo gari litakuja kuwa ni gazi bora la dunia na ghali zaidi. unaweza kuniel;eza ni kwa nn alivunja mashindano hayo? basi na mabepari nao wakamkomoa kwa kumuulia zao la mkonge ingawa zao la jute lilikuja kuvuma, lakini matumizi ya mkonge ni bado yalikuwa juu sana. matokeo yake viwanda vyetu vyoote vya mkonge vikafa na watu tena kupoteza ajira. wakshindwa kusomesha watoto wao secondari za kulipia na kujenga nyumba bora.

halafu tena alipiga marufuku TV na kuwanyang'anya wanamuziki hati miliki za kumiliki nyimbo zao! matokeo yake wanamuziki wengi sana wakawa masikini na kuishi nyumba za kupanga.
kwa hayo machache tuu, wewe huyo nyerere ulikuwa unamuona antupeleka wapi na siasa za maujamaa yake?
 
Kituo cha television cha itv hutoa sehemu za hotuba ya hayati mwl nyerere,kuna hotuba yake aliyoitoa akiwa ameshaastaafu urais anasema;
"enzi hizo ktk uongozi wangu sikupenda kabisa kutishwa lakini siku hizi nimekomaa mtu akinitisha naogopa".
mytake.
Kauli hii naiona ipo kinyume kabisa kwa sababu mtu ambaye hajakomaa ni rahisi kutishwa.kwa kipindi nyerere alipoanza uongozi alikuwa kijana kabisa na alikuwa ana msimamo thabiti dhidi ya vitisho vya mabeberu,kwa nini aseme sasa amekomaa akitishwa anaogopa? Mnasemaje wana jf!

kuna mambo ma2 tofauti, ''kutopenda kutishwa'' na ''kuogopa'', moja sio kinyume cha mwenzake bali chaweza kuwa mwendelezo tu.

'kutopenda kutishwa';
pengine wakati wa uongozi wake kipindi kile yeye tu ndiye aliekuwa amekalia akili za wengi na mwenye mamlaka hivyo alijiona anajua kila kitu,

kuogopa':
na baadae akakuta wapo wajuvi wengi kuliko yeye na wamekalia vyeo, hivyo mawazo yake yanaweza kuchukuliwa kama mgando tu na uamuzi wake hawezi tena kutumia kama zamani. na hii inamwogopesha zaidi. shetani akizeeka anakuwa malaika.
 
Hawa walikuwa wawekezaji ama wanyonyaji? ifike mahali tukubali ukweli kuwa the so called investors ni wanyonyaji wenye kupora rasilimali zetu kwa sera walizozitunga na kutuletea wakati wa utawala wa awamu ya tatu! Ben Mkapa mwenye aliwahi kukiri kuwa walimdanganya kuwa wakikubali kubinafsisha kila kitu in return wataleta mitaji na technologia! kinyume na matarajio yake alichokiona ni capital flights ya hali ya juu... Mengi anajaribu kuwaelimisha umuhimu wa kuwa na investors wazawa wengi na kuwa serikali inatakiwa iwape kipaumbele lakini wanaishia kumnanga! Bakhressa et al ni watu muhimu sana kwetu, wanatofauti kubwa sana na wawekezaji kama Barrick, Symbion, et al... Nyerere aliona mbali, madini haya alikuwa anajua kua yapo, alikataa masharti ya kipuuzi akatuwekea mpaka tutakapo kuwa tayari kuyavuna kwa faida ya vizazi vyetu vijavyo! Ona sasa CCM mnafanya nini zaidi ya kugeuzwa vibaraka wa mabeberu...RIP JKN...

Vyovyote utakavyowaita ni sawa tu, ni haki yako kuandika upendacho. Lakini kumbuka hao hao ambao unawaita "wanyonyaji" walimtisha Nyerere akaogopa na akawarudishia mali zao alizowataifisha awali. Upo hapo ulipo?

Isitoshe, hao hao unaowaita wewe wanyonyaji, leo hii tunawasaka kwa uvumba na udi waje kuwekeza, sijui unalijuwa hilo?
 
Kitafute ukisome kisa cha Lonrho na Tiny Rowland utajuwa kuwa Nyerere alitishwa na akaogopa.

Kwa ufupi tu; Tiny Rowland aliwekeza Tanganyika kabla ya Uhuru na baadae Tanzania . Nyerere akawataifisha na alipotakiwa atazame upya kuwataifisha, akasema akitazama nyuma atageuka jiwe na yeye hayuko tayari kugeuka jiwe. Tiny akaanza vitu vyake duniani, Nyerere akarudisha mali zote za Tiny alizotaifisha na zilizoharibiwa akazilipa na hapo hapo akawaruhusu waendelee kuwekeza wakipenda.

Jee ni nini alichokifanya Tiny mpaka kikamtisha Nyerere na akaona ni bora ageuke jiwe kuliko kuendelea kung'ang'ania mali za Tiny?

Mkufunzi Moyoni, hii taarifa ni muhimu sana, naomba unitumie rejea chambi78@yahoo.com
 
Kituo cha television cha itv hutoa sehemu za hotuba ya hayati mwl nyerere,kuna hotuba yake aliyoitoa akiwa ameshaastaafu urais anasema;
"enzi hizo ktk uongozi wangu sikupenda kabisa kutishwa lakini siku hizi nimekomaa mtu akinitisha naogopa".
mytake.
Kauli hii naiona ipo kinyume kabisa kwa sababu mtu ambaye hajakomaa ni rahisi kutishwa.kwa kipindi nyerere alipoanza uongozi alikuwa kijana kabisa na alikuwa ana msimamo thabiti dhidi ya vitisho vya mabeberu,kwa nini aseme sasa amekomaa akitishwa anaogopa? Mnasemaje wana jf!
Hadi leo Wananchi tunalipa malumbukizo na madeni !! gharama zote juu ya mgongo wa Mtanzania na bado tunawafuata hao Wawekezaji hadi kwao waje tena kujikimu.....
 
Dada yangu katika imaan, sera ya uwekezaji si ya watanzania! Ballali alipofika hapa nchini alikuwa na mission moja tu, kuichakachukua Tanzania after Nyerere, ndiyo maana aliletwa kama mshauri wa Rais kuhusu uchumi! TOR yake ilikuwa ni kuingiza na kutekeleza sera za ubinafsishaji, uwekezaji na hata sera ya madini ya 1998...yote hayo yalitekelezwa na kuratibiwa kwa karibu na WB na IMF taasisi tanzu za mabepari! Nyerere alikaa ujinga wao! siyo hayo tu, kuna sharia na mikataba mingi ya kimataifa tumeridhia ambayo ukiangalia kwa umakini hayana maslahi mapana kwetu sisi, mathalan juzi kati walikamata kiasi kikubwa sana cha pembe za za Ndovu wakaishia kuchoma moto! hiyo ni akili ama matope? kwanini wasingeingia deal na serikali za china na Japan in return fedha zitakazopatikana zitumike kuwalinda Tembo waliosalia hata kwa tracking systems? Tembo wakiisha kwetu itabidi tukaangalie kwenye mazoo yao... CCM ndiyo muasisi na mlezi wa madudu yote haya ya kuwakumbatia wanyonyaji mnaowaita wawekezaji...mbaya zaidi hata kwenye katiba mpya mmeiweka eti Tanzania itaendelea kuvutia wawekezaji! ujinga mtupu! Wawekezaji huwa wanatafuta pa kwenda kuwekeza wenyewe...sera na ilani zenu CCM zinawafanya wananchi wawekezwe kwenye nchi yao...itoshe kusema CCM hamkubaliki duniani wala Akhera...
 
KWA WEWE Nyerere kwako ni kama Nabii na wewe ni mfuasi mfia jina lake kama vile alivyofanya Seti Benhamin kukubali kufa kwa kuunga azimio la Arusha.

Ronho hakuwa Mnyonyaji, bali aliwekeza sana hapa Tanganyika na kutoa ajira nyingi sana kwa watanzania mpaka kudhamini wachezaji wa kulipwa kuchezea timu yake ya TPC ya Moshi. kitendo cha nyerere kumnyang'anya Ronho mali zake na matajiri wengine, kiliwafanya watanzania wengi sana kupoteza ajira na hata kushindwa kulipia ada za shule za watoto wao.

Nyerere hakuishia hapo, alipiga marufuku mashindano maarufu ya magari duniani yaliyokuwa yanafanyika hapa tanganyika yaliyokuwa yanajulikana kama the East african rally.

gari likipita mlima Usambara bila kupoteza point nyingi, na kuja shinda basi hilo gari litakuja kuwa ni gazi bora la dunia na ghali zaidi. unaweza kuniel;eza ni kwa nn alivunja mashindano hayo? basi na mabepari nao wakamkomoa kwa kumuulia zao la mkonge ingawa zao la jute lilikuja kuvuma, lakini matumizi ya mkonge ni bado yalikuwa juu sana. matokeo yake viwanda vyetu vyoote vya mkonge vikafa na watu tena kupoteza ajira. wakshindwa kusomesha watoto wao secondari za kulipia na kujenga nyumba bora.

halafu tena alipiga marufuku TV na kuwanyang'anya wanamuziki hati miliki za kumiliki nyimbo zao! matokeo yake wanamuziki wengi sana wakawa masikini na kuishi nyumba za kupanga.
kwa hayo machache tuu, wewe huyo nyerere ulikuwa unamuona antupeleka wapi na siasa za maujamaa yake?

Hata ukimchukia Nyerere kwa maandiko yako lakini kimoyomoyo utamkubali tu, huyu ndo icon ya Tanzania leo mnalalamika wageni wanachukua mali zetu hovyo kwakuwa alizitunza kwani angewapa Wazungu na Asia au Waamerika tangu enzi hizo leo ungekuwa na cha kusema? Leo tunadai elimu imeporomoka hadi tunaweka div 5 na kupunguza alama za ufaulu kisa watu wanafunzi wote wapate degree Lo! enzi zake kama unauwezo utaipata hiyo degree.
Naombeni tumuheshimu marehemu Mwalimu kwani mawazo yake ndo kwanza tunayalilia.
 
KWA WEWE Nyerere kwako ni kama Nabii na wewe ni mfuasi mfia jina lake kama vile alivyofanya Seti Benhamin kukubali kufa kwa kuunga azimio la Arusha.

Ronho hakuwa Mnyonyaji, bali aliwekeza sana hapa Tanganyika na kutoa ajira nyingi sana kwa watanzania mpaka kudhamini wachezaji wa kulipwa kuchezea timu yake ya TPC ya Moshi. kitendo cha nyerere kumnyang'anya Ronho mali zake na matajiri wengine, kiliwafanya watanzania wengi sana kupoteza ajira na hata kushindwa kulipia ada za shule za watoto wao.

Nyerere hakuishia hapo, alipiga marufuku mashindano maarufu ya magari duniani yaliyokuwa yanafanyika hapa tanganyika yaliyokuwa yanajulikana kama the East african rally.

gari likipita mlima Usambara bila kupoteza point nyingi, na kuja shinda basi hilo gari litakuja kuwa ni gazi bora la dunia na ghali zaidi. unaweza kuniel;eza ni kwa nn alivunja mashindano hayo? basi na mabepari nao wakamkomoa kwa kumuulia zao la mkonge ingawa zao la jute lilikuja kuvuma, lakini matumizi ya mkonge ni bado yalikuwa juu sana. matokeo yake viwanda vyetu vyoote vya mkonge vikafa na watu tena kupoteza ajira. wakshindwa kusomesha watoto wao secondari za kulipia na kujenga nyumba bora.

halafu tena alipiga marufuku TV na kuwanyang'anya wanamuziki hati miliki za kumiliki nyimbo zao! matokeo yake wanamuziki wengi sana wakawa masikini na kuishi nyumba za kupanga.
kwa hayo machache tuu, wewe huyo nyerere ulikuwa unamuona antupeleka wapi na siasa za maujamaa yake?
Yako ya kipumbavu alifanya JKN katika kipindi cha uhai wake, suala la TV na haki miliki ya wanamuziki fanya utafiti wa kutosha. Tango73 inaonekana wewe umehadithiwa story tu. Enzi za JKN watoto walikuwa wanasomeshwa almost bure hadi vyuo vikuu... kwanini waliua mkonge? kwanini walimwanzishia vita na Idd Amin? mikakati ya hao unaowaita wawekezaji siku zote ni kututawala kifikra na kimali ... mkakati wao wa kutufanya tegemezi ulianza siku nyingi na JKN alifanikiwa sana kuwabana tofauti na sasa hivi tunalipishwa bei kubwa ya umeme kwa vijenereta vya symbion, aggreco et al wakati 80% ya umeme unaozalishwa ni Hydro alizozianzisha JKN... Wazungu wote ni wanyonyaji ndiyo maana Obama alijaribu kuwaeleza ukweli kuwa Africa itaendelezwa na Waafrica wenyewe! sidhani kama mlimwelewa...
 
Kitafute ukisome kisa cha Lonrho na Tiny Rowland utajuwa kuwa Nyerere alitishwa na akaogopa.

Kwa ufupi tu; Tiny Rowland aliwekeza Tanganyika kabla ya Uhuru na baadae Tanzania . Nyerere akawataifisha na alipotakiwa atazame upya kuwataifisha, akasema akitazama nyuma atageuka jiwe na yeye hayuko tayari kugeuka jiwe. Tiny akaanza vitu vyake duniani, Nyerere akarudisha mali zote za Tiny alizotaifisha na zilizoharibiwa akazilipa na hapo hapo akawaruhusu waendelee kuwekeza wakipenda.

Jee ni nini alichokifanya Tiny mpaka kikamtisha Nyerere na akaona ni bora ageuke jiwe kuliko kuendelea kung'ang'ania mali za Tiny?

The Agent of hate.
 
KWA WEWE Nyerere kwako ni kama Nabii na wewe ni mfuasi mfia jina lake kama vile alivyofanya Seti Benhamin kukubali kufa kwa kuunga azimio la Arusha.

Ronho hakuwa Mnyonyaji, bali aliwekeza sana hapa Tanganyika na kutoa ajira nyingi sana kwa watanzania mpaka kudhamini wachezaji wa kulipwa kuchezea timu yake ya TPC ya Moshi. kitendo cha nyerere kumnyang'anya Ronho mali zake na matajiri wengine, kiliwafanya watanzania wengi sana kupoteza ajira na hata kushindwa kulipia ada za shule za watoto wao.

Nyerere hakuishia hapo, alipiga marufuku mashindano maarufu ya magari duniani yaliyokuwa yanafanyika hapa tanganyika yaliyokuwa yanajulikana kama the East african rally.

gari likipita mlima Usambara bila kupoteza point nyingi, na kuja shinda basi hilo gari litakuja kuwa ni gazi bora la dunia na ghali zaidi. unaweza kuniel;eza ni kwa nn alivunja mashindano hayo? basi na mabepari nao wakamkomoa kwa kumuulia zao la mkonge ingawa zao la jute lilikuja kuvuma, lakini matumizi ya mkonge ni bado yalikuwa juu sana. matokeo yake viwanda vyetu vyoote vya mkonge vikafa na watu tena kupoteza ajira. wakshindwa kusomesha watoto wao secondari za kulipia na kujenga nyumba bora.

halafu tena alipiga marufuku TV na kuwanyang'anya wanamuziki hati miliki za kumiliki nyimbo zao! matokeo yake wanamuziki wengi sana wakawa masikini na kuishi nyumba za kupanga.
kwa hayo machache tuu, wewe huyo nyerere ulikuwa unamuona antupeleka wapi na siasa za maujamaa yake?

Swadakta. Ni wachache sana wenye kuyajuwa hayo. Wengi wamelishwa uongo na ujinga. Ni vyema tulioyaona tuwaeleze wayajuwe.

Hilo la wanamuziki, umenikumbusha gwiji la muziki na kucharza guitar kutoka Morogoro, Marehem Mbaraka Mwinshehe alivyoyakimbia ya Nyerere na kuhamia Kenya mpaka kufia hukohuko.

Jikumbushe vitu vyake: The Complete Mbaraka Mwinshehe - YouTube
 
The Agent of hate.

Ukweli hubaki kuwa ukweli, ukishindwa kuujibu utaniita kila jina ulijuwalo lakini ukweli hautaufuta.

Marehemu Mandela aliwekwa mpaka kwenye list ya Magaidi na USA lakini leo tunasikia Rais wa USA anakwenda kumzika. Upo hapo ulipo?
 
KWA WEWE Nyerere kwako ni kama Nabii na wewe ni mfuasi mfia jina lake kama vile alivyofanya Seti Benhamin kukubali kufa kwa kuunga azimio la Arusha.

Ronho hakuwa Mnyonyaji, bali aliwekeza sana hapa Tanganyika na kutoa ajira nyingi sana kwa watanzania mpaka kudhamini wachezaji wa kulipwa kuchezea timu yake ya TPC ya Moshi. kitendo cha nyerere kumnyang'anya Ronho mali zake na matajiri wengine, kiliwafanya watanzania wengi sana kupoteza ajira na hata kushindwa kulipia ada za shule za watoto wao.

Nyerere hakuishia hapo, alipiga marufuku mashindano maarufu ya magari duniani yaliyokuwa yanafanyika hapa tanganyika yaliyokuwa yanajulikana kama the East african rally.

gari likipita mlima Usambara bila kupoteza point nyingi, na kuja shinda basi hilo gari litakuja kuwa ni gazi bora la dunia na ghali zaidi. unaweza kuniel;eza ni kwa nn alivunja mashindano hayo? basi na mabepari nao wakamkomoa kwa kumuulia zao la mkonge ingawa zao la jute lilikuja kuvuma, lakini matumizi ya mkonge ni bado yalikuwa juu sana. matokeo yake viwanda vyetu vyoote vya mkonge vikafa na watu tena kupoteza ajira. wakshindwa kusomesha watoto wao secondari za kulipia na kujenga nyumba bora.

halafu tena alipiga marufuku TV na kuwanyang'anya wanamuziki hati miliki za kumiliki nyimbo zao! matokeo yake wanamuziki wengi sana wakawa masikini na kuishi nyumba za kupanga.
kwa hayo machache tuu, wewe huyo nyerere ulikuwa unamuona antupeleka wapi na siasa za maujamaa yake?

Hello Agent of Hate.
Kulipia ada zipi wakati elimu ilikuwa bure??
 
Ukweli hubaki kuwa ukweli, ukishindwa kuujibu utaniita kila jina ulijuwalo lakini ukweli hautaufuta.

Marehemu Mandela aliwekwa mpaka kwenye list ya Magaidi na USA lakini leo tunasikia Rais wa USA anakwenda kumzika. Upo hapo ulipo?

Sasa wewe unatofauti gani na hao wamarekani? Na yote mema aliyoyafanya Marehemu leo ukisikia tu ametajwa sehemu macho juu juu mwanamke ndani ya gagulo huyoo kwenda kusambaza chuki?

Tofauti ya Wamerakani na wewe ni kwamba, baada ya Madiba kufariki haraka wameachana na mtizamo wao hasi dhidi yake hata kabla hajazikwa,

wewe mwenzetu vipi, miaka kumi na nne sasa mtu yuko ardhini, kila kukicha unkabiriana naye,
au mwenzetu mwanga.
 
Hiyo sio sera ya uwekezaji, hiyo ni sera mbovu kabisa ya foreignization
Sera ya kizarendo ya uwekezaji katika msingi wa kiuchumi mliotuleta unprepared ni ile iliyojikita katika uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE).
 
FaizaFoxy tunaongea lugha moja au? wanatuendesha kwa kutumia remote control via CCM ...unanielewa? unlimited opportunities for business, investment and tourism kwanini hazielekezwi kwa wazawa? kwanini mabenk yetu mpaka leo yana act kama bureau de change? kwanini mitaala yetu haiwaandai vijana kutambua hizo fursa? unafikiri haya yote ni bahati mbaya? Kwanini CCM inaikumbatia BAKWATA kwa nguvu zote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom