kingfish
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 571
- 159
Kituo cha television cha itv hutoa sehemu za hotuba ya hayati mwl nyerere,kuna hotuba yake aliyoitoa akiwa ameshaastaafu urais anasema;
"enzi hizo ktk uongozi wangu sikupenda kabisa kutishwa lakini siku hizi nimekomaa mtu akinitisha naogopa".
mytake.
Kauli hii naiona ipo kinyume kabisa kwa sababu mtu ambaye hajakomaa ni rahisi kutishwa.kwa kipindi nyerere alipoanza uongozi alikuwa kijana kabisa na alikuwa ana msimamo thabiti dhidi ya vitisho vya mabeberu,kwa nini aseme sasa amekomaa akitishwa anaogopa? Mnasemaje wana jf!