Mwalimu Nyerere hakupenda kutishwa

FaizaFoxy tunaongea lugha moja au? wanatuendesha kwa kutumia remote control via CCM ...unanielewa? unlimited opportunities for business, investment and tourism kwanini hazielekezwi kwa wazawa? kwanini mabenk yetu mpaka leo yana act kama bureau de change? kwanini mitaala yetu haiwaandai vijana kutambua hizo fursa? unafikiri haya yote ni bahati mbaya? Kwanini CCM inaikumbatia BAKWATA kwa nguvu zote?

She could not discern your inner thinking, she read on the surface of your post and jumped to her self interested conclusion.

if your current thinking is that, this is the kind of person you can go through constructive discussion for the well being of the subjects of this nation, you are about lost.

She is an extremist
 
Kituo cha television cha itv hutoa sehemu za hotuba ya hayati mwl nyerere,kuna hotuba yake aliyoitoa akiwa ameshaastaafu urais anasema;
"enzi hizo ktk uongozi wangu sikupenda kabisa kutishwa lakini siku hizi nimekomaa mtu akinitisha naogopa".
mytake.
Kauli hii naiona ipo kinyume kabisa kwa sababu mtu ambaye hajakomaa ni rahisi kutishwa.kwa kipindi nyerere alipoanza uongozi alikuwa kijana kabisa na alikuwa ana msimamo thabiti dhidi ya vitisho vya mabeberu,kwa nini aseme sasa amekomaa akitishwa anaogopa? Mnasemaje wana jf!

Alimaanisha kwamba once he was an amateur asiyeogopa chochote lakini baadae akagundua uhalisia wenyewe..
 
Nimegugo ila nimepata hiki tu:

Mwalimu Nyerere hakupenda kutishwa - JamiiForums

www.jamiiforums.com › ... › Jukwaa la Siasa - Translate this page
2 hours ago - 18 posts - ‎10 authors
Wala haina haja ya kuhangaika ni habari maarufu tu na ipo mtandaoni, wewe google tu "Tiny Rowland vs Nyerere" utaipata kwa wingi.

Sijui ni browser ipi unatumia, lakini mimi nimepata "About 45.900 results (0,57 seconds)", link hii hapa;

https://www.google.co.tz/search?q=T...efox-beta&gws_rd=cr&ei=1F2kUoP7Cs2u7Aay1YDYCQ
 
Sijui ni browser ipi unatumia, lakini mimi nimepata "About 45.900 results (0,57 seconds)", link hii hapa;

https://www.google.co.tz/search?q=T...efox-beta&gws_rd=cr&ei=1F2kUoP7Cs2u7Aay1YDYCQ

Shukrani Mkufunzi Moyoni, nimeguswa na hii hasa ukizangatia tupo katika muktadha wa msiba wa mpinzani wa Ubaguzi, Mandela:

Commercial and Industrial News.

At the beginning of June, the Government announced the expulsion of Lonrho because of the company's activities in Rhodesia and South Africa. Lonrho's activities in Tanzania have been cut down over the past eleven years due to nationalisation, but its involvement in tea, cotton and beer production and vehicle distribution contributed £1 million of the company's £90 million profits last year. Announcing the expulsion of Lonrho, the Tanzanian Government made an outspoken attack on "Tiny" Rowland, Lonrho's chief executive, who pretended to be a friend of Africa while he meddled in Southern African affairs. Lonrho is to receive £1 million in compensation for the assets of the Central Line Sisal Estates, nationalised in 1967.

CHANZO: Tanzanian Affairs » DIGEST OF TANZANIAN NEWS
 
Dah, katika kupitia hiyo habari uliyoiweka kiukamilifu, chini yake nimekuta hii:

Corruption.
President Nyerere has made a number of important speeches on this subject. Speaking to police officers in January he said that 1978 would be a year to fight corruption in the country, especially in the administration of justice. The police and the courts had lost their good name by becoming involved in corrupt practices. He announced he was taking personal charge of an anti-corruption squad which would seek to root out corruption at all levels. In February he told a party rally that drastic measures were necessary because Tanzania had lost its reputation as a nation free from corruption.

Source:Tanzanian Affairs » DIGEST OF TANZANIAN NEWS

Kumbe rushwa ilishamiri wakati wa Nyerere.
 
Kituo cha television cha itv hutoa sehemu za hotuba ya hayati mwl nyerere,kuna hotuba yake aliyoitoa akiwa ameshaastaafu urais anasema;
"enzi hizo ktk uongozi wangu sikupenda kabisa kutishwa lakini siku hizi nimekomaa mtu akinitisha naogopa".
mytake.
Kauli hii naiona ipo kinyume kabisa kwa sababu mtu ambaye hajakomaa ni rahisi kutishwa.kwa kipindi nyerere alipoanza uongozi alikuwa kijana kabisa na alikuwa ana msimamo thabiti dhidi ya vitisho vya mabeberu,kwa nini aseme sasa amekomaa akitishwa anaogopa? Mnasemaje wana jf!

Mtoto mdogo akimuona Cobra anamkimbilia amakamte kichwani ili aanze kucheza naye, wewe je? Hicho ndicho alichokuwa akimaanisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom