Mwalimu Nyerere anamwambia nini huyu?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,265
17,114
Mwaka 1962...akikagua pass out ya Polisi

U1439285.jpg
 
Nimependa hizo kofia zao....inanikumbusha mwalimu wangu mmoja wa primary alikuwa na nywele nyingi akizichana mbele zinakuwa na mwelekeo wa hizo kofia. Tukamtungia jina la "Mjerumani"
 
Si unaona huyo ni mtoto wa kike alafu mzuri. Mwalimu nae alikua binadamu, alikua anjaribu kuexpess his feelings to her.
 
Mkuu mbona unamuandama sana Mchonga - sasa ulitaka aweke mikono nyuma?

Hakuna kitu mkuu. Nilisikia katika mapokezi ya Rais wa ujerumani pale airport, Rais Mwinyi alimsindikiza mgeni kuangalia Sindimba. Wanenguaji walivyozidisha sanaa ikabidi mzee aweke mikono mbele. Sasa sijuhi kama kuwa gwaride nalo lilihitaji kuweka mikono mbele.
 
Muktadha wa Sindima na wa Gwaride tofauti mkuu - hukucheki majuzi walivyomchunia mjeshi mwenzao aliyeanguka?
 
Ukiwaangalia hao askari wote 1962 wanaonekana kuwa na afya nzuri sana. Gwaride la sasa polisi utawaona walivyo na afya mgogoro na kuanguka ovyo? Je haya ni maendeleo?

ccp

15%5B1%5D.+MWANAJESHI+AKIBEBWA+BAADA+YA+KUANGUKA.JPG
 
Back
Top Bottom