Mwalimu Nyerere Alipozungumzia Dini na Siasa

LAZIMA NISEME

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
208
250
Angalia Video ya Mwalimu Nyerere alipzungumzia Dini na Siasa...


Mwalimu Nyerere Alipozungumzia Dini na Siasa alikuwa anasisitiza kwamba kila taasisi inajitegemea na inategemea nyingine kwa upande fulani. Lakini Mojawapo isitumike kwa lengo la kuikandamiza nyingine ili kujipatia madaraka.

Unapotumia dini kujipatia madaraka ni lazima utawagawa watu. Utakuwa ni mfuasi wa watu wa hizo dini ulizoamua kuzitumikia na wale ambao hawapo kwenye hizo dini utakuwa umewaacha pembeni hivyo utaleta mpasuko.

Vilevile kila dini inautaratibu wake katika kufikisha au kuonya jamii kwa kutumia vitabu vitakatifu.
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
22,298
2,000
..vijana wa siku hizi mnapenda sana njia ya mkato.

..hiyo video ni ya kuunga-unga tu, kuhusu mambo yasiyokuwa na uhusiano wowote.

..nakushauri ukasome hotuba ya Mwalimu Nyerere aliyoitoa kwa Wamisionari wa Maryknoll, inaitwa " The Church and Society."
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom