Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.

Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita kwa sababu madhara yaliyotokana na hilo bado yapo na yanaendelea kuitesa Serikali ya awamu ya sita, nadhani wenye uelewa mzuri wameelewa.

Logout.
Unaweza kutusaidia alisemea wapi kaka au kama ni kitabu ni kipi aliandika habari hii?
 
Alimaanisha makabila yenye ubinafsi kama wachaga! Wasukuma ni generous sana majority of them na wana misimamo haswaa!
Nadhani maisha yanabadilika, kwa wakati ule inawezekana alikuwa sahihi, ila kwasaizi naona haina mantiki sana
 
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.

Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita kwa sababu madhara yaliyotokana na hilo bado yapo na yanaendelea kuitesa Serikali ya awamu ya sita, nadhani wenye uelewa mzuri wameelewa.

Logout.
Wala inakuwa haina hasara kama kabila hilo ni dhaifu katika uelewa (hawana shule) wasukuma hawana kitisho chochote maana wao na shule ni maji na mafuta hata walioenda shule wameshindwa kubadilika!!! Tena kabila dogo linaweza kuwa na impact kubwa endapo lina ellites wa kutosha,,,,Makabila makubwa yaliyomtisha Nyerere ni Wahaya na Wachaga alijua moto wao kama wangeshika nchi maana wamekamilika kila Idara.Wasukuma,wamasai nk ni dhaifu sana pamoja na wingi wao
 
Nadhani kwa wakati ule inawezekana ilikuwa na mantiki, ila binafsi sioni kama lina mashiko eti Rais asiwe Mnyakyusa, Mchaga, Mhehe, Mngoni au kabila lolote kubwa, hayo ni mawazo mgando
wachaga ni kabila kubwa? au ukubwa unauongelea ni kwa vigezo gani? wachaga hawana hata wilaya zaidi ya 3? hata wanyakyusa, wahehe na wangoni siyo wengi hivyo. labda useme makabila yenye ukabila. ukiniambia wasukuma ni wengi haina ubishi, hawa wamejaza mikoa kadhaa. sasa kabila halijajaza hata mkoa moja eti kabila kubwa? labda uzungumzie umaarufu ktk elimu, biashara na ukabila
 
Kwamba Nyerere alimaanisha nn au ametafsiriwa vibaya
 
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.

Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita kwa sababu madhara yaliyotokana na hilo bado yapo na yanaendelea kuitesa Serikali ya awamu ya sita, nadhani wenye uelewa mzuri wameelewa.

Logout.
Tatizo siyo kabila, ila mfumo unaonfanya rais kuwa Mungu mtu. Kukiwa na taasisi imara kama, bunge, mahakama n.k rais hawezi kufanya atakavyo.
 
Wala inakuwa haina hasara kama kabila hilo ni dhaifu katika uelewa (hawana shule) wasukuma hawana kitisho chochote maana wao na shule ni maji na mafuta hata walioenda shule wameshindwa kubadilika!!! Tena kabila dogo linaweza kuwa na impact kubwa endapo lina ellites wa kutosha,,,,Makabila makubwa yaliyomtisha Nyerere ni Wahaya na Wachaga alijua moto wao kama wangeshika nchi maana wamekamilika kila Idara.Wasukuma,wamasai nk ni dhaifu sana pamoja na wingi wao
Hivi umauhakika na unachoandika wasukuma na shule ni maji na mafuta? Wewe akili huna na unajua ukweli nenda mashuleni na vyuoni ukawaone wasukuma walivyo wengi! Mie niko migodini nje ya nchi huku waengineer wasukuma na matechnician ni wengi ahalafu unatuletea ngonjera!
 
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.

Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita kwa sababu madhara yaliyotokana na hilo bado yapo na yanaendelea kuitesa Serikali ya awamu ya sita, nadhani wenye uelewa mzuri wameelewa.

Logout.
Nyerere aliona mbali sana na sikuwah Kujua hawa jamaa ni wakabila hiv
 
Hivi umauhakika na unachoandika wasukuma na shule ni maji na mafuta? Wewe akili huna na unajua ukweli nenda mashuleni na vyuoni ukawaone wasukuma walivyo wengi! Mie niko migodini nje ya nchi huku waengineer wasukuma na matechnician ni wengi ahalafu unatuletea ngonjera!
Hamna kitu msukuma na shule wapi na wapi!! watu wachache sana usukumani wameenda shule wengi wao kazi kunya vichakani,,,Hata walioenda kama wewe hamna lolote,Mtu kama Kalemani ana nini cha kuogofya,,,Makabila alosema Nyerere ni Wahaya na Wachaga
 
Mie naona cha muhimu ni kuwa na katiba ya haki na mihimili huru ya dola. Kuanzia upatikanaji wa viongozi wake hata utendaji wao. Mengine hayana madhara sana.
Nadhani maisha yanabadilika, kwa wakati ule inawezekana alikuwa sahihi, ila kwasaizi naona haina mantiki sana
 
Nijuavyo hakusema kabila kubwa lisiongoze nchi, bali alisema kuna baadhi ya makabila hayafai kutoa raisi

Na yanajulikana kwa ubinafsi, ufujaji wa mali za umma na vitu kama hivyo, si wingi wao.
 
Hamna kitu msukuma na shule wapi na wapi!! watu wachache sana usukumani wameenda shule wengi wao kazi kunya vichakani,,,Hata walioenda kama wewe hamna lolote,Mtu kama Kalemani ana nini cha kuogofya,,,Makabila alosema Nyerere ni Wahaya na Wachaga
Hao wahaya na wachaga wana nini cha kuogovywa? Kumbe wewe ndo umejaa ukabila kwa kuwadharau wasukuma! Kwa taarifa yako huna cha kuwafanya na kwenye system wapo mpaka mwisho wa dunia! Hivi siku hizi kuna mtu anahangaika na mhaya au mchaga tuko nao mtaani njaa kali hawana kitu! Saizi maisha ya kusema wasukuma wanakunya vichakani umeenda kahama,katoro mwanza ukakosa vyoo?
 
Hamna kitu msukuma na shule wapi na wapi!! watu wachache sana usukumani wameenda shule wengi wao kazi kunya vichakani,,,Hata walioenda kama wewe hamna lolote,Mtu kama Kalemani ana nini cha kuogofya,,,Makabila alosema Nyerere ni Wahaya na Wachaga
Hao wahaya na wachaga wana nini cha kuogovywa? Kumbe wewe ndo umejaa ukabila kwa kuwadharau wasukuma! Kwa taarifa yako huna cha kuwafanya na kwenye system wapo mpaka mwisho wa dunia! Hivi siku hizi kuna mtu anahangaika na mhaya au mchaga tuko nao mtaani njaa kali hawana kitu! Saizi maisha ya kusema wasukuma wanakunya vichakani umeenda kahama,katoro mwanza ukakosa vyoo!
 
Back
Top Bottom