Mwalimu Nyerere aliniambia - Hans Kitine

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Jana UDASA naona habari nyingi zimesemwa lakini hakuna anayetaka kusema alicho kisema Kitine mbele za watu .I also loved him he careless na titles za akina Muhongo maana anaona watu wanalia na Titles wakati Nchi haiko sawa .
Mwalimu Nyerere aliniambia , Hans msije kuruhusu kuchimba maliaasili kwa haraka , maana mtapata laana .Acheni Watanzania wajimbue ndipo wachimbe maliasili yao .Mkiharikisha kuchimba , mtadhurumiwa na mtalaaniwa -Hans Kitine

Sasa mwana JF kama ulifuatilia unasemaje kuhusu kauli yake ? Aliongelea pia rushwa kwa uchungu mkubwa .Na kutoboa kwamba alicho ambiwa na Mwalimu amesha waambiwa wakubwa na watawala nadhani alimaanisha Rais na akaishia kusema na hata wewe Muhongo nilisha kueleza whata Mwalimu said .

Sijaona kokote hauli hii inaongelewa .Je ni kwa bahati mbaya au ndiyo njia ile ile ?
 
I like Russia, Israel and the likes!!!!!!!

There are hands for composition and those for publication!!!
 
Kabisa mkuu ila wacha nione wana JF kama wana maoni juu ya hili la jana .
 
Profesa jinga kama hii sijawahi ona.
Kwenye natural resource tatizo sio kupata hela tatizo ni kupata sehemu yenye mali (proven reserve)
 
Jana UDASA naona habari nyingi zimesemwa lakini hakuna anayetaka kusema alicho kisema Kitine mbele za watu .I also loved him he careless na titles za akina Muhongo maana anaona watu wanalia na Titles wakati Nchi haiko sawa .
Mwalimu Nyerere aliniambia , Hans msije kuruhusu kuchimba maliaasili kwa haraka , maana mtapata laana .Acheni Watanzania wajimbue ndipo wachimbe maliasili yao .Mkiharikisha kuchimba , mtadhurumiwa na mtalaaniwa -Hans Kitine

Sasa mwana JF kama ulifuatilia unasemaje kuhusu kauli yake ? Aliongelea pia rushwa kwa uchungu mkubwa .Na kutoboa kwamba alicho ambiwa na Mwalimu amesha waambiwa wakubwa na watawala nadhani alimaanisha Rais na akaishia kusema na hata wewe Muhongo nilisha kueleza whata Mwalimu said .

Sijaona kokote hauli hii inaongelewa .Je ni kwa bahati mbaya au ndiyo njia ile ile ?

Kitine mnafiki tu huyo, mfa maji, ye amesahau alimpeleka mkewe ulaya kutibiwa jipu.
 
Mkuu Lunyungu, hata kutafsiri kauli nayo inahitaji uwezo fulani!.
Very unfortunately uwezo huo sio wengi wenye nao, na hapa jf ndio kabisa!, usipotafsiri wewe, usitemee kuna watu humu watakuja kutafsiri!.

Haya mambo ya gesi asili wengine tumeyapigia kelele kitambo!, watu wako bize na politiking kila kitu politics hadi kwenye gesi politics!.

Achana na maneno ya Nyerere, tangu tumegundua gesi, japo hatuna sera wala sheria, lakini tumeishatoa mikataba 22 ya PSA yote kwa makampuni ya kigeni!, kwenye mikataba hiyo we get nothing kwa sababu we know nothing!, kama kwenye madini!.

Baada ya kugawa vitalu hivyo, badala ya kusubiri kwanza hivi vilivyopo vizalishe, tujue mapungufu ya zile PSA, tutunge sera madhubuti, tutunge sheria ya gesi na mafuta ndipo tugawe vitalu awamu ya pili, sisi ndio kwanza tunakimbilia kugawa tena vitalu vingine!, kwa jina la Mungu, tunaibiwa!, tena tutaibiwa big time!.

Ugawaji huu ni shinikizo la makampuni fulani naomba nisiyataje due conflict of interest!.
Yalipopata vitalu vya mwanzo, waliomba kutengeneza mitambo ya kusafishia kule kule majini, serikali ikakataa na kuamua mitambo ya kusafishia lazima ijengwe ardhini na wakaingia mkataba wa ujenzi wa bomba la gesi na Wachina chapchap!.

Kitendo cha kuamua kujenga kituo ardhini, kikawafrustrate watatuibiaje?, ndipo wakaja na plan B, wakaomba vitalu vingine deep sea kule karibu na 200 nautical miles kuingia international sea!. Kuichimba gesi huko na kuisafirisha hadi nchikavu itakuwa very expensive ikihusisha under sea pipes!, hivyo serikali yetu itake isitake, lazima itaruhusu mtambo wa kusafishia wa ndani ya bahari ya kina kirefu!. Sasa hapo gesi itachimbwa, mijimeli ya kiharamia itatia dock international waters, watapitisha under sea horse na kudrain gesi wanavyotaka wao, na kujiendea zao hatuna technica know how ku detect, hata Navy wakiiona hiyo mijimeli kwenye radar zao, hatuna any mandate wala jurisdiction kuulizia lolote kuhusu mijimeli hiyo kwa vile imedock international sea!.

Excuse pekee walomdanyanyia Muhongo ni eti Msumbiji nako wamegundua gesi nyingi, tusipowahi kugawa vitalu vyetu, wawekezaji, watakimbilia Msumbiji!. Kina Muhongo badala ya kufanya intelgence ya hilo, wanakimbilia kugawa upya huku wakipokea free bies za facility visits za ulaya na Canada toka kwa intersted companies ili wapate preferential treatments, tena vile vibasha vyatu sisi waandishi ni tripi tuu kupanda ndege, kula vuzuri, kulala vizuri na tujiallowance tudogo!, wenzetu ni mibahasha minene deposited kule Credit Susie!.
Ama kweli, wajinga ndio waliwao!
Kanisome hapa uangalie nililalamika lini!.
 
Ingekuwa sio Membe nisingemjua kachero Kitine kwa undani! Achana nae hana issue kwa usafi gani aliokuwa nao ? Tangu atuletee risiti za hospitali ya wanyama kuwa ndio mkewe katibiwa hapo sina hamu naye kabisaa!
 
Kitine bhana,asianzishe ugomvi wa mawe wakati anakaa nyumba ya vioo jamani

Kwanini unasema hivyo kwani Kitine throughout toka akiwa Mbunge wa Makete , he has been consistent in telling the ccm government the truth abaout their decisions being undevelopmental kitu ambacho hawakumpenda!!!Hili swaka la vitalu vya gesi ni kitu dhahili kwamba ni ufisadi wa Kikwete ndio umefanya hivi vitalu waviuze hata kabala ya sera ya gesi kukamilika simply because huyu mkweree anataka kuchukua commission yake kabla muda wake madarakani haujaisha.
 
Kwahiyo ina maana mpaka viongozi wetu hawajajitambua mpaka leo au ndiyo wanatumiaadvantage ya sisi kutokujitambua?? Binafsi nafikiri hatuna haja ya kusubirimaana hizo resources zinaweza kupungua thamani yake with time. You never know.Things change.
Lakinisiamini mpaka sasa kuwa hatuna uwezo wa kuamua tunataka nini na kujua faida ikowapi au tunaweza kunegociate vipi kwa faida ya taifa. Kama UAE waliweza, tenamiaka ya sitini sisi tunashindwaje leo wakati resources zinahitajika zaidikuliko wakati wowote ule?? Nafikiri hili ni tatizo la viongozi wetu waroho wa malina wabinafsi. Ndiyo maana Team Lumumba (Ritz, Black Widow, Chama, Siminyu Yetun.k.) hawaonekani kwenye thread kama hizi.
Tatizola Tanzania, the idea of building a nation is not a priority of our leaders andthe ruling party in general. Ndiyo maana elimu, inashuka, umaskini unaongezekana rasili mali zinaporwa. The main focus of our leaders is on few individualswho threaten the leadership i.e. Slaa, Mbowe etc and how they would get lid ofthem so that they would continue to remain in power. No leaders in Tanzania,especially the current ones who thought of leaving a legacy (except JKN). Theirsimple minds, probably tell them that being there is enough because their name willbe written in our country’s history. Hawajui kuwa kizazi kijacho kinawezakuamua kuwafuta kwenye historia kwa uhuni wanaotufanyia sasa. Mfano mzuri ni BenitoMussolin, the Italian dictator. Italians wameamua kumfuta kabisa kwenyehistoria ya nchi yao na shuleni watoto hawafundishwi kuhusu yeye kwa sababu yaaliyoyafanya enzi hizo.
 
Atwambie kwanini aliiba kodi yetu kumtibia mkewe, kama si kumheshimu angekuwa jela saa hizi
 
Huyo Muhongo cjui hata uprofesa wake aliupata vipi yani ni moja kati ya maprofesa majuha africa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Jana alikuwa na vijana wake Muhongo wanamtetea na yeye anajifanta kumwaa data .Hakujibu hoja ya Mengi ya Local kitu gani sijui yeye kakimbilia statistics eti ni mwana wa Sayansia na mavyeti kibao .Haya .
 
Excuse pekee walomdanyanyia Mhongo ni eti Msumbiji nako wamegundua gesi nyingi, tusipowahi kugawa vitalu vyetu, wawekezaji, watakimbilia Msumbiji!. Kina Muhongo badala ya kufanya intelgence ya hilo, wanakimbilia kugawa upya huku wakipokea free bies za facility visits za ulaya na Canada toka kwa intersted companies ili wapate preferential treatments, tena vile vibasha vyatu sisi waandishi ni tripi tuu kupanda ndege, kula vuzuri, kulala vizuri na tujiallowance kodogo!, wenzetu ni mibahasha minene kula Credit Sssie!.
Ama kweli, wajinga ndio waliwao
Kanisome hapa uangalie nililalamika lini!.
Pasco

Link haipo!
 
Jana UDASA naona habari nyingi zimesemwa lakini hakuna anayetaka kusema alicho kisema Kitine mbele za watu .I also loved him he careless na titles za akina Muhongo maana anaona watu wanalia na Titles wakati Nchi haiko sawa .
Mwalimu Nyerere aliniambia , Hans msije kuruhusu kuchimba maliaasili kwa haraka , maana mtapata laana .Acheni Watanzania wajimbue ndipo wachimbe maliasili yao .Mkiharikisha kuchimba , mtadhurumiwa na mtalaaniwa -Hans Kitine

Sasa mwana JF kama ulifuatilia unasemaje kuhusu kauli yake ? Aliongelea pia rushwa kwa uchungu mkubwa .Na kutoboa kwamba alicho ambiwa na Mwalimu amesha waambiwa wakubwa na watawala nadhani alimaanisha Rais na akaishia kusema na hata wewe Muhongo nilisha kueleza whata Mwalimu said .

Sijaona kokote hauli hii inaongelewa .Je ni kwa bahati mbaya au ndiyo njia ile ile ?

Kabisa kabisa Naunga Mkono 100%. Sio Nyanya kwamba zitaoza...wizi tu magamba ndio yanaweza..Kumbuka Huyu Mzee ni Former TISS Director nafasi ya Rashid kwa Sasa....So alichosema anamaanisha.........Mwalunyungu binamu yangu nikukumbushe huyu Mzee Kitine huwa halembi....Mwaka 2012 katika moja ya vipindi vya Makwaia wa Kuhenga Chanel Ten nilimwona na Kumsikia mimi mwenyewe akimtuhumu Mkulu wa Magogoni kwamba Kateua moja ya Makatibu Wakuu wa Wizara Nyeti kabisa inayoliingizia Taifa Fedha nyingi ni Mwizi,,Jambazi..na akasisitiza kwa Kiingereza.."Is a Thief" Tunajua Wizara zenye Fedha Tanzania ni 2 tu..Nishati na Madini wakati ule Alikuwa Jairo na Maliasili na Utalii wakati ule alikuwa Maimuna Tarishi...JF mtajua alimaanisha nani hapa sasa.Maana mwezi mmoja baadae akiwa kasema haya Nishati na Madini Kikanuka....Heko Kitine Baelezee magamba basikile genyewe!!!
 
mdahalo kama ule bila Mengi kupeana za uso na Muhogo live ni sawa na ugali kwa picha ya samamki
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom