inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 17,715
- 17,960
asilimia kubwa!!..maana yake kuna asilimia ndogo ilitoka kwetu..ndogo kiasi gani!?Asilimia kubwa ya ya budget ya harakati hizo haikutoka katika mapato ya nchini kwetu, nchi nyingi sana duniani zilikua zinachangia fedha, silaha na mafunzo kwa wapigania uhuru. Kikubwa alichofanya ni kukubali ardhi ya Tanzania kutumika kwa harakati hizo