Mwalimu na Juma

CaptainDunga

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
1,567
1,375
Muda wa kutoka shuleni umewadia mwalimu akawaambia wanafunzi wake
Mwalimu : Atakayejibu swali langu kwa usahihi ndio ataenda nyumbani leo
Juma kuona hivyo akatupa begi lake nje ya dirisha:
Mwalimu : Nani katupa begi nje ?
Juma : akajibu haraka, ni mimi mwalimu, halafu huyo akafungua mlango na kuondoka zake kwenda kwao.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom